instanbul
JF-Expert Member
- Jun 26, 2016
- 11,383
- 14,197
Mimi sijui wakisemaga kagera ni maskini...wanaongelea kagera ipi...Singida kuna maendeleo kuliko Kagera?
Maana huko vijijini kuna majumba na majumba...bila kusahau barabara za kunganisha wilaya nyingi ni za lami...
Wilaya kams muleba ina hospital tatu na shule kibao ...
Sasa sijui wanataka kagera nzima iwe na maghorofa kama dar?
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app