Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 71,944
- 177,160
Santo sana kwa mwongozo lo!RC hajui vile watu walivyokua wanarudishwa walipotoka au warudi majumbani na wengine kuambiwa washuke kwenye boda boda haziruhusiwi watembee...
Anazungumzia theory, ila practical haikua hivyo...