Driver proffesional
JF-Expert Member
- Feb 18, 2022
- 1,193
- 2,788
Hawakusema mbwa huyo!
Wakati leo wamenizuia minaki nisimpelekee mgonjwa chakula ,
Na mbaya zaidi boda boda baadhi wamepigwa bakora kwenye kizuizi cha minaki.
Hii serikali kwa kifupi hatuitambui wacha iendelee tu na ubabe ila!!!