Imagine huyo ndio RC wa mji mkubwa. Mtu wa nje anaweza kujiuliza kama RC wao yupo hivi je raia watakuwaje? Kumbe ni kakikundi cha CCM ndio kinaleta hawa watuHuyu jamaa hayupogo timamu
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amezungumza na Global TV na kuelezea hali ya ulinzi na usalama ilivyo jijini Dar es Salaam, amesema "Hatukusema Wananchi wakae ndani"
Tutoke tupite wapi?
Kigamboni hakuna kivuko wamefunga,
Darajani wameblock,
Njia ya buguruni wameblock
Leo sgr ilikuwa almost empty
Because watu wanafikaje stations?
Exactly 💯 jamaa ni wapumbavu sanaImagine huyo ndio RC wa mji mkubwa. Mtu wa nje anaweza kujiuliza kama RC wao yupo hivi je raia watakuwaje? Kumbe ni kakikundi cha CCM ndio kinaleta hawa watu
Jamaa bwege sana huyuMkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amezungumza na Global TV na kuelezea hali ya ulinzi na usalama ilivyo jijini Dar es Salaam, amesema "Hatukusema Wananchi wakae ndani"
Hawa viumbe wanatuona wananchi ni wajinga sana!! Wasubiri wataona majibu yake!Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amezungumza na Global TV na kuelezea hali ya ulinzi na usalama ilivyo jijini Dar es Salaam, amesema "Hatukusema Wananchi wakae ndani"
😂😂😂😂😂Mbona hukusema asubuhi
Exactly 💯...hatari sana...Wanaendesha nchi kihuni sana. Jana nilisema humu ndani, wanataka faida za curfew bila kutangaza hiyo curfew waziwazi.
Wanasema wanatoa ushauri ila ni amri ili baadae warudi kama hivi wajisifu nchi ilikuwa imetulia na hatukuwalazimisha watu wakae ndani.
Kesho utawaambia watu tena kwamba unawashauri wakae ndani watakugomea maana watakumbuka uliwahi kusema hivyo baadae ukawaambia haukuwalazimisha kukaa ndani.
Nchi ina ombwe kubwa la kiuongozi. Shida ni kwamba, mtaongoza nchi kwa njia za janja janja kama hivi mpaka lini?
😅😅 Lazima tuikomboe Tanganyika kutoka kwa wahuni😂😂😂😂😂
Kesho tunatoka
Huyu mlevi akili yake haipo sawa.Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amezungumza na Global TV na kuelezea hali ya ulinzi na usalama ilivyo jijini Dar es Salaam, amesema "Hatukusema Wananchi wakae ndani"