Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila amesema kwa mujibu wa ratiba ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi mikutano yote ya hadhara katika mkoa huo imewekwa wazi katika viwanja na tarehe za mikutano kuanzia tarehe iliyotangazwa na tume hadi karibu na uchaguzi Mkuu
RC Chalamila ameyasema hayo alipotembelea eneo la Tanganyika Packers Kawe Jijini Dar es Salaam ambalo siku ya kesho Chama cha Mapinduzi (CCM) kitazindua kampeni zake kuelekea uchaguzi mkuu ujao
Aidha RC Chalamila ameongeza CCM ambao ni Chama tawala wanapaswa kuwa mabalozi wazuri wa demokrasia kwa vyama vingine