Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 4,393
- 14,498
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila akizungumza kwenye ufunguzi wa Kituo cha Biashara na Usafirishaji Afrika Mashariki (EACLC) Ubungo, leo tarehe 1 Agosti, 2025 amesema;
"Mhe. Rais, wewe unagombea Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi, sisi vijana wako tunakuombea kila la heri na tumejipanga na ndugu zangu kwamba hakuna sauti yoyote itakayotikisa amani ya taifa hili na hasa hapa Dar es Salaam, tumejipanga kwa mtu yoyote yule ambaye anaweza kufanya majaribio, sisi hatutamjaribu bali tutafanya kweli"