RC Makalla hajawahi kufanikisha jambo lolote na sitegemei hata kwenye hili kama ataweza.Acha kumvimbisha kichwa.
Mimi ninaamini atafanikisha. kuna mambo amejifunza kwenye uongozi wake. Hili la uwanja wa ndege litampa legacy,vinginevyo litamuondoa haraka.RC Makalla hajawahi kufanikisha jambo lolote na sitegemei hata kwenye hili kama ataweza.
Ngoja tusubiri tuone.Mimi ninaamini atafanikisha. kuna mambo amejifunza kwenye uongozi wake. Hili la uwanja wa ndege litampa legacy,vinginevyo litamuondoa haraka.
Kama waliwekeza kwa nini wasidai?Masharti ya kupewa asilimia halmashauri eti kwa vile zilichangia kwenye hatua za mwanzo za ujenzi hazina mashiko,ni mbinu nyingine ya kuchelewesha mradi huu,pesa zote zilizotumika 1.4,1.1 na 9 bn ni za walipa kodi wa Tanzania, na jengo ni mali ya Watanzania.
Kwa Muundo wa katiba tulio nayo wakuu wa Mikoa hawana cha wanacho fanya, Hao zaidi ya kushauri, kuahiza hawana wanacho fanya, tuache uzuz,Leo nimemsikia RC Makala akitembelea jengo la uwanja wa ndege Mwanza nakutoa maelekezo kadhaa ya kukwamua mradi huu, kitu kikubwa alichokieleza ambacho anapaswa akifanyie kazi ni kukabidhi jengo hili TAA bila hata masharti yeyote.
Masharti ya kupewa asilimia halmashauri eti kwa vile zilichangia kwenye hatua za mwanzo za ujenzi hazina mashiko,ni mbinu nyingine ya kuchelewesha mradi huu,pesa zote zilizotumika 1.4,1.1 na 9 bn ni za walipa kodi wa Tanzania, na jengo ni mali ya Watanzania.
Kama kuna hoja zozote zifuate baadaye zisifanywe km pre condition. Mh Makala usisikilize hoja hizi, muhimu kabidhi kazi unconditionally kazi ianze, ndiyo maana kwenye bajeti hii mradi huu hauzungumziwi kabisa na Wizara Tunajichelewesha wenyewe.
Adam Malima alichemsha kusikiliza maoni ya mgawanyo hata kabla ya kukabidhi. pia fuatilia miradi mingine ili kulibadilisha jiji la Mwanza. weks msukumo kwenye barabara kuu za Kenyatta na Nyerere kuwa njia 4 utakuwa umesaidia sana. utumie vizuri ukada wako ulete maendeleo kwenye jiji hili
Kapigwa demotion Dar to MwanzaLeo nimemsikia RC Makala akitembelea jengo la uwanja wa ndege Mwanza nakutoa maelekezo kadhaa ya kukwamua mradi huu, kitu kikubwa alichokieleza ambacho anapaswa akifanyie kazi ni kukabidhi jengo hili TAA bila hata masharti yeyote.
Masharti ya kupewa asilimia halmashauri eti kwa vile zilichangia kwenye hatua za mwanzo za ujenzi hazina mashiko,ni mbinu nyingine ya kuchelewesha mradi huu,pesa zote zilizotumika 1.4,1.1 na 9 bn ni za walipa kodi wa Tanzania, na jengo ni mali ya Watanzania.
Kama kuna hoja zozote zifuate baadaye zisifanywe km pre condition. Mh Makala usisikilize hoja hizi, muhimu kabidhi kazi unconditionally kazi ianze, ndiyo maana kwenye bajeti hii mradi huu hauzungumziwi kabisa na Wizara Tunajichelewesha wenyewe.
Adam Malima alichemsha kusikiliza maoni ya mgawanyo hata kabla ya kukabidhi. pia fuatilia miradi mingine ili kulibadilisha jiji la Mwanza. weks msukumo kwenye barabara kuu za Kenyatta na Nyerere kuwa njia 4 utakuwa umesaidia sana. utumie vizuri ukada wako ulete maendeleo kwenye jiji hili
Uwanja wa ndege wa Mwanza ulizidiwa kete na ule wa wilaya pendwaMimi ninaamini atafanikisha. kuna mambo amejifunza kwenye uongozi wake. Hili la uwanja wa ndege litampa legacy,vinginevyo litamuondoa haraka.