Rayvanny kufungua lebo yake

Rayvanny kufungua lebo yake

Franky Samuel

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2018
Posts
5,501
Reaction score
14,783
" Muda si Mrefu @rayvanny anenda kuanzisha Lebo yake . Studio yake ndio itakua Studio Kubwa zaidi hapa Tanzania ..

Hakuna anaezuiwa kuanzisha Lebo ndani ya @Wcbwasafi_ , hata Drake ana Lebo yake Lakini yupo Cash Money " - diamondplatnumz

#TheSwitch
20201027_155434.jpg


Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Hivi huyu dogo hajahusika kupiga kampeni?
 
Style mpya ya kumzima konde pheeewiiii
 
Back
Top Bottom