Dodoma leo
JF-Expert Member
- Jan 7, 2021
- 1,336
- 1,660
Kwenye ishu ya pesa wengi tu nafsi hubadilika, diamond anawakilisha wengi, sisi tunaona rayvanny kama msanii, diamond anamuona ni kiingiza fedha ofisini kwake hapo ndipk shida huanzia.Harmo yupi unayemuongelea,yule wa kajala ama. Maana harmo wa kajala alilalamika kila kona alishtaki hadi kwa Jiwe ndo domo akaachia mambo na kubaki na bifu kali. Nilitegemea kwa ray wataelewana bila ugomvi maana kijana hakua na makeke kama wengine ila duh wachafu koge hawapendi amani daima
Najiuliza HIV inakuaje msanii Kama Rayvanny ameshindwa kumalizana na Diamond hadi kaamua kumpeleka Diamond BASATA. Hiv anadhan mikataba inaweza kuvunjwa kirahis tu na basata. Afate masharti ya mkataba basata hawataweza msaidia Kitu.
Ajifunze Kwa Harmonize mwenzake hakuhangaika na basata alilipa alichotakiwa na kusepa vyema, ikiwemo kuachiwa akaunti zake za mitandao ya jamii kama YouTube
Ajifunze pia Kwa Mavoko hta alipompeleka Diamond basata Bado akaunti yake ya YouTube hadi Leo Bado inamilikiwa na wasafi Kwa Sababu hakuheshim mkataba na ikambid afungue akaunti nyingne ya billionaire kid.
Rayvanny zingatia mkataba basata yeye ni mlezi tu hawez kamwe kushurutisha Diamond akusamehe kirahisi na ukumbuke Diamond Yuko na mtu mbad Sana Sallam Sk, so ndugu yatakukuta ya Mavoko usipoheshimu kuvunja mkataba wako Kwa mujibu wa Sheria.
Kila la heri Huko basata
Hapa umeeleweka Sana mkuuKwenye ishu ya pesa wengi tu nafsi hubadilika, diamond anawakilisha wengi, sisi tunaona rayvanny kama msanii, diamond anamuona ni kiingiza fedha ofisini kwake hapo ndipk shida huanzia.
Inabidi tu tuwaele wote, kuna wakati mondi anakuwa sahihi, hata majuu huko msanii kuondoka kwenye label wengine wanamaindiana.
Ni vema mondi akawa anasamehe sababu kusamehe inonesha ukubwa na ukomavu, lakini si lazima sababu kaweka fedha akitegemea apate fedha.
Lakini hajashikia mtu mtutu wa bunduki kumsainisha mkataba.Domo ni bonge la jizi na nyonyaji,