what about Dab style,what abou shokii style,what about kibega style wangap wamecheza hio style,una wivu wa ajabu kwa dalil hizo za wivu upo kwenye hatua za mwisho za kuwa MCHAWI

Unataka uonekane mfuatiliaji mzur sana wa video za mbele? Kwaiyo mtu akitingisha bega tu kamuiga mtu? Basi hawa wasanii wa boringo wanaigana kupitiliza maana kila nyimbo lazima madansa wakate viuno.

Well huyo dogo ni dancer na nimekuwa namkubali kwa miaka kadhaa sasa,nilipoona video ya Ray ikanikumbusha staili ya hao madogo!Ndio nimeweka taarifa hapa!Hata wewe sasa umejua kuwa sio ubunifu wao!
what about Dab style,what abou shokii style,what about kibega style wangap wamecheza hio style,una wivu wa ajabu kwa dalil hizo za wivu upo kwenye hatua za mwisho za kuwa MCHAWI
Nani kasema ni kosa?Mi nimetoa tu taarifa ili mbunifu na mwanzilishi wa hiyo style aendelee kujulikana!kwani kuna ubaya gani kutoa taarifa kama hii?
Dab style ilishakuwa common ila ukimsaka mwanzilishi utajua!Kuiga sio vibaya ila tunatakiwa tujue kama umeiga