RICH OIL SHEIKH
JF-Expert Member
- Jan 2, 2012
- 883
- 167
Kumsingizia mtu katika swala nyeti kama hili si sahihi kabisa...lakini kesi si iko mahakamani na uchunguzi unaendelea tusubiri tuone.
Na hilo limange yeye linataka nini???? Manake yeye ndio alieanza kumuandika RAY kwenye hiyo blog yake......!!!Ni upuuzi tu Ray kuongelea maswala haya hasa ukizingatia kesi ipo mahakamani. Mi naona Kama vile yeye ndo anataka public imzungumze!!
Aaaaah! Barua Ndefu Kama Hii. Kwa kukukuruka na camera yako hadi unatamani usimamie nywele ili upate picha dramatic zaidi za mwili wa marehemu 'swahiba' wako na kuumalizia usiku huo wa tukio kwenye laptop yako kuzianika picha hizo mitandaoni kulionesha either your head isn't screwed on right or ulijawa na furaha ilioje kwamba your biggest rival is gone.
Kwangu mie Ray ni pathetic, sadist and a sorry excuse for an actor.
Haya nenda kapige mikelele yako kwenye maigizo yako unayoyaita muvi. Yuk!