Bado sijakupata, ni kwa namna gani wameukashifu ukatoliki? Kuvaa hayo mavazi au kuna jambo jingine? Nijuwajuwavyo wakatoliki hawana ujinga huo wa kuandamana kwa namna hiyo...Binafsi siyo msomaji wa magazeti ya udaku, ila leo asubuhi wakati naangalia gazeti la kununua ndipo nimeona habari inayomuhusisha Ray au VINCENT KIGOSI pamoja na wenzake akina JOHARI.
Picha zao ziko ukurasa wa mbele kwenye gazeti la KIU wakiwa wamevalia mavazi ya kikatoliki, ila sijajua kama ni habari ya kweli au ya kutungwa.
Pia kwenye maelezo yao wanasema Wakatoliki wanapanga kuandamana, kama ni kweli siono haja ya kuandamana kwa ajili ya mtu kama RAY, bali aombe msamaha au watafutwe wachapwe viboko.
...
Pia kwenye maelezo yao wanasema Wakatoliki wanapanga kuandamana, kama ni kweli sioni haja ya kuandamana kwa ajili ya mtu kama RAY, bali aombe msamaha au watafutwe wachapwe viboko
Ni mavazi tu au kuna kingine,yule ni msanii tu wala sioni tatizo hapo,mbona kwenye muvi yake fulani amepiga kanzu na baraghashia na tena ni mkristo mzuri tu.
Unaamini wakatoliki wataandamana kwa sababu hiyo? Hawana historia hiyo.... Wapo wenye mambo hayo lakini si wakatolikiKwa nini mtu uandamane kupinga uovu uliofanywa na mtu asiyejua afanyacho? Njia nzuri zaidi ni kumuelimisha juu ya ukatoliki ili aongoke.
Wakatoliki hawana muda huo mchafuKwani mavazi ya kikatoliki ni yapi?
Kuna mkatoliki anaweza kupata nafasu ya kuandamana kweli
kama kayatumia kuchezea filamu sioni tatizo.....hata kama wangechezea filamu ya porn mwisho wa siku ni mavazi tu na hao ni wasanii waacheni wafanye "sanaa" yao
Binafsi siyo msomaji wa magazeti ya udaku, ila leo asubuhi wakati naangalia gazeti la kununua ndipo nimeona habari inayowahusu Ray au VINCENT KIGOSI pamoja na wenzake akina JOHARI.