Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,515
- 28,487
Msanii wa filamu, Vincent Kigosi ‘Ray’ hivi karibuni ametimkia nchini Rwanda baada ya kualikwa nchini humo kwa ajili ya kuandaa filamu maalum ambayo itashirikisha wasanii wa Tanzania na Rwanda.
"Nipo nchini Rwanda nimekuja kushoot movie inayoshirikisha nchi mbili Tanzania na Rwanda ni msanii pekee toka Tanzania niliyechaguliwa kuja kufanya movie hapa nchini Rwanda nina imani sitowaangusha Watanzania wenzangu hapa ni kazi tu."
Ray pia amefunguka na kusema kuwa yeye ni msanii pekee kutoka Tanzania ambaye amechaguliwa kushiriki katika filamu inayounganisha nchi mbili ya Rwanda na Tanzania.
Source: BongoMovie