Ray Kigosi akiwa na mwanae Jayden!

Ile hereni ukiyaangalia vizuri sio zile za kutoboa sikio ni za kupachika, hebu chunguza vizuri
 
Kumbe jamaa anamtoto nilisikiaga kuwa ray ni mchicha poli
Hapana Mkuu, Wabongo wanaongea sana na kuzusha vitu vya uongo.

Hata ikitokea tu mtangazaji wa kiume mtanashati sana au muigizaji utasikia anaanza kusingiziwa uongo. Mara shoga sijui nini. Wabongo bana ...dah.
 
N kweli mkuu
 
Walikuwaga wanasambaza uvumi kuwa Mtangazaji Fulani kapiga sijui kuwa sio...kumbe ana mke na watoto copy kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…