Andrew Nyerere JF-Expert Member Nov 10, 2008 3,007 2,429 Nov 22, 2012 #1 Mwimbaji Ray C yupo taabani,kwa ajili ya madawa ya kulevya. Pole sana Ray C.
Pastor Achachanda JF-Expert Member May 4, 2012 3,022 1,305 Dec 12, 2012 #3 Na huyu binti alijiingizaje huko?Amrudie Mungu na awapende wahehe wenzake nasikia alikuwa akiwatimua wajapo kumuona.
Na huyu binti alijiingizaje huko?Amrudie Mungu na awapende wahehe wenzake nasikia alikuwa akiwatimua wajapo kumuona.
Vegetarian JF-Expert Member Apr 7, 2012 651 495 Dec 12, 2012 #4 Nani tena kaileta hii thread ya Novemba?