Dear Ndugu;
Msishangae; lakini i have seen kwenye gazeti ya baabkubwa picha ya Rey C akiwa booooonge. I just want to confirm.
Please naomba kujua if the picture was real or some fiction of mtandao.
Thank you
shem omba radhi.......kitu kile kiko fresh kabisa bado new sema magazeti ya shigongo yanamuaribia.....na bado kiuno hakina mfupa.....hajawa bonge ila kazidi kuwa mkali...Hujui ART huwa zinanenepesha? teh teh teh
shem omba radhi.......kitu kile kiko fresh kabisa bado new sema magazeti ya shigongo yanamuaribia.....na bado kiuno hakina mfupa.....hajawa bonge ila kazidi kuwa mkali...
unataka picha ili ufanyaje?naomba picha jamaniiii
Kuna wana JF nawashangaa. Leo nimeona thread moja ikihoji Madam Rita kapungua mwili. Hii kanenepa sana. Kwenu jema lipi? Maswali hayo ni muafaka kwenye gazeti la uwazi.
kuna wana jf nawashangaa. Leo nimeona thread moja ikihoji madam rita kapungua mwili. Hii kanenepa sana. Kwenu jema lipi? Maswali hayo ni muafaka kwenye gazeti la uwazi.
Nimesema nataka kuconfirm sababu picha ya za mani na sasa ni tofauti kubwa sana. l....
unataka picha ili ufanyaje?
....mods mmefunga thread ya rita mnaacha thread kama hii inaendelea kuwepo....
Kumbe umeshaona picha ya zamani na ya sasa hata ukafikia kuconfirm kuwa kabadilika, enheee picha unayoitaka hapa ya nini?
Yaelekea ulikuwa mdau wa zeutamu, sasa huna pa kutapikia udaku wako, JF sio utamu, koma kabisa.
inaelekea unapenda mipasho; you have met wrong person sorry!