Ray C afungua mlango kwa Mwanaume yeyote anayetaka kumuoa

Hilo suala la muda naonaga wengi mnalikazia sana ila mie hata halinisumbui.

Daaaah huwa naimagine maisha yangu bila pesa yatakuwaje ila huwa siwezi kukaa kufikiria maisha yangu bila mume yatakuwaje!

Pole yao wanaolilia waume eti kisa umri umeenda.....huwa siwaelewi!

pole sana.....hali uliyonayo hua haiji hivi hivi tu
 
Dah!
Mmemponda sana inatosho sasa mshaurini cha kufanya kwanza anastaili pongezi sababu kutoka alivyokuwa mpaka akakubali kushaurika na kupata dawa na bado akawa balozi mzuri wa kupinga madawa ya kulevya na ameshawishi wengi kupata dawa akiwa ni pamoja na Chid benz.

Jamani watanzania tuwe na haja moja la kupongeza ameonesha mfano mzuri tusiegemee sana kwenye persona interests zake make hatufikirii sawa kila mtu ana utashi wake na mtazamo wake lakini kwa jambo lenye maslahi mapana kwa jamii tulifikirie zaidi ya kujikita kwenye mambo ambayo ni yake binafsi.

Mi namkubali sana Ray C

Hali aliyokuwa amefikia na alivyo sasa sio jambo dogo

Kuna vijana wengi wanatumbukia huko mara nyingi si kwa wao kupenda

Ray C was just a victim....Namkubali sana kwa sababu anajikubali...she is not fake kama walivyo mademu wengi wa humu JF
 
Maana yake kuwa hataki kuwa na mtu. Hamna kitu siku hizi, Ray C zamani, naogopa kusema zaidi.
 
Kiukweli Ningekuoa,ila Sijui Nyimbo Zako Kichwani Zote,kwa Upande Wa Simu Hatuwezi Kutumia Simu Moja Maana Sio Muda Wote Tutembee Pamoja, Heri Nio Mtoto Aliyemaliza La Saba Kuliko Kunipa Masharti Hayo
 
jamen Hii thread iko outdated coz muhucka mwenywe kaishasema alikua anawakumbusha Mashabiki wake watambue uwepo wake..xo napenda kufunga rasmi malumbano ya hoja ktk thread Hii!!aksantheen..?!
 
hahaha sasa naanza kuelewa wazungu wanaposema "new world order" mfumodume unateketea alichosema Ray c anawakilisha kundi flani la wanawake wa dot.com
 
Back
Top Bottom