wakuu nataka kununua gari aina ya Rav4, Year 2001 - 2003. Yenye High Quality. Lakini sina uzoefu wowote maana ni gari yangu ya kwanza kutaka kununua. Hivyo tumwagiane maujuzi ili kuusudii wengi wafaidi,
Ningepend tuongelee kwanza Sehemu gani ambapo unaweza kupata gari aina hii either Showroom au Direct from japani kwa Bei nzuri, Je unaweza kupata gari hii kwa 15m. Nawasilisha, ( Please saidia)