RAV 4n RAV 4 RAV 4 RAV4

miksel

Member
Jan 5, 2011
63
6
wakuu nataka kununua gari aina ya Rav4, Year 2001 - 2003. Yenye High Quality. Lakini sina uzoefu wowote maana ni gari yangu ya kwanza kutaka kununua. Hivyo tumwagiane maujuzi ili kuusudii wengi wafaidi,
Ningepend tuongelee kwanza Sehemu gani ambapo unaweza kupata gari aina hii either Showroom au Direct from japani kwa Bei nzuri, Je unaweza kupata gari hii kwa 15m. Nawasilisha, ( Please saidia)
 
show room m20, mi nnayo m10 tu ila rav4 old model hakuna ya miaka uliyo taja zote ni za 1995, 1997, 1998. zidi kujifunza
 
wakuu nataka kununua gari aina ya Rav4, Year 2001 - 2003. Yenye High Quality. Lakini sina uzoefu wowote maana ni gari yangu ya kwanza kutaka kununua. Hivyo tumwagiane maujuzi ili kuusudii wengi wafaidi,
Ningepend tuongelee kwanza Sehemu gani ambapo unaweza kupata gari aina hii either Showroom au Direct from japani kwa Bei nzuri, Je unaweza kupata gari hii kwa 15m. Nawasilisha, ( Please saidia)

Huwezi pata RAV 4 nzuri ya model za 2000 na kuendelea kwa kiasi cha million 15!!!!
 
Mie naona hiyo ni pesa nyingi kununua old model au unasemaje?

take time shop around pata idea zote usikimbilie kununua jipe muda utapata iliyo nzuri na haina matatizo mengi.

Tabu inabidi uangalie mambo mengi kabla ya kununua na pia kumuuliza muuzaji maswali.

haya kitipu kidogo hapo chini zaidi weye google utajifunza ili usitapeliwe tena acha kusema kuwa hujui maana ndio utaingizwa mjini kiurahisi sana. BEWARE!!! usiseme weye hujui kabisaaaaaaa au nyamaza

[h=2]What to look for in a second hand car - pro tips[/h]
  • Check the body lines for consistency
  • Look for any evidence of repainting, such as overspray on window rubbers or any inconsistency in the paintwork
  • Check for uneven tyrewear
  • Look out for different makes of headlights
  • Watch for different consistencies of stonechips over the front of the bonnet compared to the adjacent wings.
  • Examine carefully the wear at the pedal rubbers, the gear stick and the steering wheel
  • Closely examine the odometer for any sign of interference
  • Make sure the keys provided operate in all of the locks and that there is a spare set.
  • Try all keys provided in the ignition and make sure that they start the engine – as occasionally a 'cut' key is not a 'transponder key' or micro-chipped to work in the ignition.

good luck
 
Mie naona hiyo ni pesa nyingi kununua old model au unasemaje?

take time shop around pata idea zote usikimbilie kununua jipe muda utapata iliyo nzuri na haina matatizo mengi.

Tabu inabidi uangalie mambo mengi kabla ya kununua na pia kumuuliza muuzaji maswali.

haya kitipu kidogo hapo chini zaidi weye google utajifunza ili usitapeliwe tena acha kusema kuwa hujui maana ndio utaingizwa mjini kiurahisi sana. BEWARE!!! usiseme weye hujui kabisaaaaaaa au nyamaza

What to look for in a second hand car - pro tips

  • Check the body lines for consistency
  • Look for any evidence of repainting, such as overspray on window rubbers or any inconsistency in the paintwork
  • Check for uneven tyrewear
  • Look out for different makes of headlights
  • Watch for different consistencies of stonechips over the front of the bonnet compared to the adjacent wings.
  • Examine carefully the wear at the pedal rubbers, the gear stick and the steering wheel
  • Closely examine the odometer for any sign of interference
  • Make sure the keys provided operate in all of the locks and that there is a spare set.
  • Try all keys provided in the ignition and make sure that they start the engine – as occasionally a 'cut' key is not a 'transponder key' or micro-chipped to work in the ignition.

good luck
kiukweli 15m nikubwa kiasi kununua Old model, Mkuu thanks, hapa ntazidi kupata maufundi zaid,, Wabeja
 
usilogwe ukanunua RAV4 ya 2001-2003 toleo la ulaya (uingereza), toleo hilo lina tatizo la computer box kutokea kiwandani, gear zinachomoka, linapoteza nguvu, brake zinafail

kazi kwako
 
Vyipi kwa model hiyo kutoka Japan matatizo ni hayo hayo au zenyewe inakuwaje
 
Hi all
Kuna RAV 4 moja ipo maeneo ya sinza mugabe, inauzwa. Nilipoulizia bei niliambiwa ni 9.5m. Ila three doors.
Kwa maelezo zaidi 0715740150. Hajaniomba nifanye hivi ila i feel like naweza kukupa hii information.
 
Mimi nauuza Rav4 ya mwaka 1998 silver colour, 5 doors ,manual transmission, price ni 7.5 mil.
 
usilogwe ukanunua RAV4 ya 2001-2003 toleo la ulaya (uingereza), toleo hilo lina tatizo la computer box kutokea kiwandani, gear zinachomoka, linapoteza nguvu, brake zinafail

kazi kwako

RAV4 auto zote kati ya 2001 - 2003 zina tatizo hili si tu za kutoka Uingereza. Tatizo ni design ECU (Computer box) ilikuwa na hitilafu ndio insababisha gari kupoteza nguvu na gia kuchomoka. Hizi zote zilitengenezwa Japan na kusafirishwa Ulaya
 
Hi all
Kuna RAV 4 moja ipo maeneo ya sinza mugabe, inauzwa. Nilipoulizia bei niliambiwa ni 9.5m. Ila three doors.
Kwa maelezo zaidi 0715740150. Hajaniomba nifanye hivi ila i feel like naweza kukupa hii information.

mkuu thanks kwa information. three doors ni ndogo sana kwa familia yangu
 
RAV4 auto zote kati ya 2001 - 2003 zina tatizo hili si tu za kutoka Uingereza. Tatizo ni design ECU (Computer box) ilikuwa na hitilafu ndio insababisha gari kupoteza nguvu na gia kuchomoka. Hizi zote zilitengenezwa Japan na kusafirishwa Ulaya

daah kwa hiyo hizi gari hazifai, maana daaah inahitaji uvumilivu magia kuanza kuchomoka,,,,
 
Vyipi wakuu kwa Old model rav 4 (1997- 1997) kwenye show room zinakwenda kwa kiasi gani
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom