RAV 4 Yateketea kwa moto Salender Bridge

RAV 4 Yateketea kwa moto Salender Bridge

gar 2.jpg gari 1.jpg
Wazee wa Picha hayaaaa
 
Bora umeweka picha nilitaka kuomba picha pliiis
 
Mwili unasisimka aiseee hatari sana,pole mwenye Rav4 hyo gari kama light blue au kijivu/silver na si nyeupe.
 
Wabongo kama kawaida hawakuwa na muda wa kutoa msaada ni visimu vyao tu na kupiga picha aisee
 
Bima ya ajali ni muhimu sana kuliko tunavyofikiria
 
Asante mkuu

Kwa hiyo rangi halisi ya gari lililoungua ni blue, ila baada ya kuungua rangi ya blue imetoweka na kuonekana nyeupe. Wale walio lionagari wakati gari linaanza kuungua wameona rangi halisi ya gari, blue.

Tiba
 
...ni mojawapo ya aina ya magari yanayotakiwa kurudishwa JAPANA!

"HITILAFU MAGARI YA TOYOTA: Magari
milioni 6.6 aina ya Yaris, Urban
Cruiser, RAV4, Hilux kurudishwa
kiwandani kutokana na hitilafu,
kampuni ya Toyota yasema leo."

Haahaaa si wajekukusanya Dar tutembeenabaajaji
 
Pengine ni tego hilo la bima! biashara ya bima ngumu sana! labda life assurance lakini hizi za magari hatari tupu!

Mkuu hata za life insurance watu siku hizi wana kitu inaitwa life after death! Yaani unapanga unakufa au unamuua mkeo/mmeo (ki document) lakini. Kisha unachukua pesa zako na kuendelea na mambo yako. watu wabaya sana.
 
Halafu ndio iwe aliazima hiyo gari, dah huruma sana. Gari imegeuka chuma chakavu
 

attachment.php

...natumaini tunahitaji mafunzo jinsi ya kutumia vifaa vya kuzimia moto, tunavyokuwa navyo kwenye magari yetu!
"haiwezekani kwa wote waliokuwa karibu na tukio hili wameshindwa kusaidi kuzima mpaka gari limepukutika: mleta mada, mpiga picha, na huyo traffic, na wote mliokuwa karibu - MLIONA NINA NJAA MKASHINDWA KUNIPA CHAKULA, PIA NILIKUWA NA KIU' MKASHINDWA KUNIPA MAJI, NILIPOKUWA UCHI' MKASHINDWA KUNIVIKA,.... OLE WENU!!!"
 
Back
Top Bottom