kintu
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 542
- 136
Ilo litakuwa lingine,lenyewe jeupe.
Ndo Lenyewe RAV4 Ya Blue New Model,sema kwa jinsi ilivyoteketea ndo inonekana Nyeupe.
But hii ni Ajali.Nampa Pole mwenye Gari.
Ilo litakuwa lingine,lenyewe jeupe.
Ilo litakuwa lingine,lenyewe jeupe.
ukipita hapo salender bridge kwa mguu mchana wakati jua linawaka nywele zinasisimka!
Weee,
Yani unawapigia simu faya badala ya kuchukua fire extinguisher yako na kuuzima huo moto? Au hata wewe hukuwa na kizima moto kwa ngari yako? Watu wengine bwana!!!!!!!!!!!!!!!!
kuna ambayo nimeikutaa inaunguaa ya kijvuu leo mida ya saa saba kasoro...ndoo yenyewee???
...ni mojawapo ya aina ya magari yanayotakiwa kurudishwa JAPANA!
"HITILAFU MAGARI YA TOYOTA: Magari
milioni 6.6 aina ya Yaris, Urban
Cruiser, RAV4, Hilux kurudishwa
kiwandani kutokana na hitilafu,
kampuni ya Toyota yasema leo."
kasema gari ni ya kilitime kwa maana ni gari ya kilimanjaro beer.
mleta Uzi utakuwa color blindness mie mwenyewe nimeishuhudia ni ya kijivu.sema nashindwa jinsi ya kuweka picha hapa
Mara nyingi watu huunguza magari sehemu maarufu zenye watu wengi kama evidence wakati wa kudai bima!