Rav 4 ya milango 5 inauzwa 10 Million

Rav 4 ya milango 5 inauzwa 10 Million

Kabachubya

Member
Joined
Oct 6, 2009
Posts
87
Reaction score
10
Mambo vipi wana JF?

Gari aina ya RAV 4 ya milango 5 ya rangi ya SILVER, imetengenezwa mwaka 1998, Engine capacity ni CC 1984
Odometer ni km 160,000
Owner ni mmoja tu tangu imeingia Tz.

Inauzwa 10Million. Ipo kwenye hali nzuri.

Kwa mawasiliano zaidi 0717 123 464, 0762 101 178 au 0713 123 464
 
Back
Top Bottom