Rav 4 milango mitano nyekundu inauzwa mil 10 tu sitaki dalali. Ni gari ya ya kampuni kilometa 86,000

Head teacher

JF-Expert Member
Mar 10, 2012
1,796
411
Toyota rav 4 nyekundu
milango 5
dalali marufuku
gari ya kampuni
bei karibu na bure mil 10. Kumbuka ni rav4
0755923374
 
Toyota rav 4 nyekundu
milango 5
dalali marufuku
gari ya kampuni
bei karibu na bure mil 10. Kumbuka ni rav4
0755923374
mkuu una haraka sana..weka details kamili kama,umeimport lini? ina mileage km ngap? ni ya mwaka gani? ipo wap? na mwisho tubandikie picha hapa...
 
pW SAM_0374.JPG SAM_0375.JPG SAM_0377.JPG SAM_0379.JPG SAM_0382.JPG SAM_0374.JPG
 
Unadai ni ya kampuni, je imeshalipiwa ushuru au bado? Ina cc ngapi?
 
Back
Top Bottom