RAUM ya 2003 inauzwa

chwechinyong

JF-Expert Member
Aug 2, 2011
224
195
Raum ya mwaka 2003 ambayo picha yake inaonekana hapo chini inauzwa kwa bei ya milioni 11 (11M). Sifa zake ni

cc 1496
km 67842
Imesajiliwa kwa namba c....
Imeshalipiwa kila kitu...haina deni hata kidogo
Ina miezi 9 tu toka kufika bongo na aliekuwa anatumia ni mwanamama

Sababu ya kuuzwa:

Mwanamama amezoea gari za juu juu (kwa urefu) kidogo, hivyo anataka auze hii gari aongeze hela anunua RAV4 ambayo ndo gari aliyoizoea

NB: Gari ipo Dar

Kwa walio serious, tuwasiliane kupitia namba 0716-365729 au 0657-203973
 
Attachments

 • IMG-20140525-WA0000.jpg
  File size
  73.8 KB
  Views
  141
 • IMG-20140525-WA0001.jpg
  File size
  66 KB
  Views
  126
 • IMG-20140525-WA0002.jpg
  File size
  76.8 KB
  Views
  130

chwechinyong

JF-Expert Member
Aug 2, 2011
224
195
Raum ya mwaka 2003 ambayo picha yake inaonekana hapo chini inauzwa kwa bei ya milioni 11 (11M). Sifa zake ni

cc 1496
km 67842
Imesajiliwa kwa namba c....
Imeshalipiwa kila kitu...haina deni hata kidogo
Ina miezi 9 tu toka kufika bongo na aliekuwa anatumia ni mwanamama

Sababu ya kuuzwa:

Mwanamama amezoea gari za juu juu (kwa urefu) kidogo, hivyo anataka auze hii gari aongeze hela anunua RAV4 ambayo ndo gari aliyoizoea

NB: Gari ipo Dar

Kwa walio serious, tuwasiliane kupitia namba 0716-365729 au 0657-203973
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom