Ratiba yangu October 25, 2015

Ratiba yangu October 25, 2015

Mimi sitakunywa hata juice.... Nataka niamke na hasira za jana yake
 
Mara unafika kituoni unaambiwa jina lako halipo!
 
Kuna watu vimeo sana dunia hii.
Teh teh teh.
 
Kaka nimecheka sana lakini ningalipenda sana kujua part 2. Mfano:-
Kwanza nadhani utakwenda machinjioni na ukwaju wako machinjioni.
11. Panga mstari kwenye foleni
12. Tazama wananchi wenzako na hali zao
13. Tazama maaskari ktk machinjio hayo
14. Chunguza utaratibu unaotumika
15. Ukifika kibandani hapo machinjioni toa kalamu zako na kabla ya kuchinja kunywa ukwaju kidogo

All in all nimecheka sana na ratiba yako

The listener
Ex Detective
 
Kuwa makini na juice ya ukwaju usije ukaishia kushinda chooni.
 
1.Naamka asubuhi na mapema
2. Nitakunywa juice yangu ya ukwaju kupata hasira
3.Nangalia picha za akina mama wakiwa wamelala wodini wanne wanne
4. Natazama picha ya mwangosi
5.Navuta hisia kauli ya mkapa sisi ni malofa
6. Nakunywa tena juice ya ukwaju
7. Nachukua bic zangu 2 bluu na 2 nyeusi
8:Namalizia kwa kuchukua kichinjio changu.

Nina hasiraaaaa!!!!
 
Jibu lake ni=gazabu+hasira+pigwamtukitasa+Mkong'oto
Hehehehe hiyo siku ana chinja mtu
 
mbona hii ipo tayari jamvini tena imepostiwa leoleo
 
1.Naamka asubuhi na mapema
2. Nitakunywa juice yangu ya ukwaju kupata hasira
3.Nangalia picha za akina mama wakiwa wamelala wodini wanne wanne
4. Natazama picha ya mwangosi
5.Navuta hisia kauli ya mkapa sisi ni malofa
6. Nakunywa tena juice ya ukwaju
7. Nachukua bic zangu 2 bluu na 2 nyeusi
8:Namalizia kwa kuchukua kichinjio changu.

Nina hasiraaaaa!!!!

Baada ya 8.?
 
Maamuzi mazito mkuu hayafanyi hivyo.
Amka asubuhi relax, kula vizuri, ingiza akili ya umuhimu wako kwa uhai wa TZ, maliza kampeni ya kuwashawishi watu waende vituoni, chukua kichinjio, kamchague JOHN POMBE MAGUFULI NA TIMU YAKE YA MBUNGE NA DIWANI. Chaguo hilo ndilo litakufanya upokee furaha ya maamuzi yako mapema saa 4:00 asubuhi 25 Oct. hiyohiyo.
 
unafika kituo ulichijiandikishia kupiga kura jina halipo😀😀😀
 
Maamuzi mazito mkuu hayafanyi hivyo.
Amka asubuhi relax, kula vizuri, ingiza akili ya umuhimu wako kwa uhai wa TZ, maliza kampeni ya kuwashawishi watu waende vituoni, chukua kichinjio, kamchague JOHN POMBE MAGUFULI NA TIMU YAKE YA MBUNGE NA DIWANI. Chaguo hilo ndilo litakufanya upokee furaha ya maamuzi yako mapema saa 4:00 asubuhi 25 Oct. hiyohiyo.
Nyie mitoto ya maccm kula kulala, unafikiri kila mtu anapata hiyo kula ya kula vizuri..watanzani pigeni kura kuondoa hawa vibaka
 
Back
Top Bottom