Ratiba yangu October 25, 2015

Ratiba yangu October 25, 2015

David Elia

Senior Member
Joined
Sep 7, 2011
Posts
101
Reaction score
25
1. Naamka mapema sana

2. Nakunywa juice ya ukwaju kupata hasira

3. Naangalia picha kadhaa za wamama wamelala zahanati wanne wanne

4. Naangalia picha ya mwangosi

5. Nakunywa tena juice ya ukwaju

6. Nachukua kikatio

7. Nachukua bic zangu mpya nne (mbili za bluu na mbili nyeusi)

8. Nachukua mathematical set (mkebe) mpya

9. Narudia tena hatua ya 3 hadi 5

10. Naelekea machinjioni
 
kumpigia kura ya ndio mafufuli awe rais wa tano wa tz na kumkata mzee lowasa kama kawaida yake. Hapa kazi tu
 
Hahaha umetisha,yani hapo kura yako najua inapoelekea.
 
kumpigia kura ya ndio mafufuli awe rais wa tano wa tz na kumkata mzee lowasa kama kawaida yake. Hapa kazi tu

dah!mhe.gamba nitake radhi,alafu toa hizo rangi hazinibariki kwakweli
 
Hii ratiba kiboko. Sharubati ya ukwaju inaongezaje hasira mkuu?

Mzee Tupatupa
 
Ongeza
11. Foleni za Dar
12. Kukatika kwa umeme pamoja na bei kuwa kubwa
13.ukosefu wa maji safi na salama
14. Shilingi kuendelea kushuka thamani
15.mafuriko yanayotokea Dar hata kwa mvua za dakika mbili.

Kwa haya lazima kichinjio changu kifanye kazi ipasavyo.
 
Nshakasirika mpaka nimechoka, ukiniona ninavyoimba wimbo wa ccm mbele kwa mbele utadhani nawapendaaa.

Siku hiyo nitakuwa na tabasamu murua huku naimba ccm ni ile ile na nitawachinjia baharini calmly
 
Hahahahaaa nimecheka sana aisee...mimi nini mahasira hata sihitaji juisi ya ukwaju maana nahisi nikiongezea na hiyo nitarest in pisi nipunguze kura bureee
 
Mimi tarehe 23, 24, 25 na 26 oktoba nimeshafanya booking Saadani Lodge pale Saadani National Park.
Mengine nawaachia wenyewe.

NB: mimi sio mpiga kura
 
Ukifika weka audio ya msigwa akiwachana bungeni km hii....hamjakaa sawa madawati hamjakaa sawa wachina hamjakaa sawa brn people they think the same way and u expect diffrnt rizalt........
 
Back
Top Bottom