Mi nipo ndo nimeingia home kwa b mkubwa hapa nimepata msos mzuri wa kifamilia ( nimeshazoea maisha ya ki bachelor msos ni nyamachoma na bia) hapa nachek chek tv na madogo navuta vuta muda nijisogeze mbezi garden hapo kupata bia mbili then nirudi kulala..
Kesho ninaamka mapema namchek chek b mkubwa anikopeshe kisela nirudi zangu geto.
J mosi nitakuwa geto tu pande za mwenge napiga shule hadi jion,,
J 2 church then nitaenda kumuaga mwanangu mmoja anaelekea job masasi ( amenunaje chezea ajira za serikalini wanavyotupa watu shamba)
Nimegundua Its so nice to be home hasa hasa kipindi hiki pesa haisomeki na tarehe hazisomi ( kwa sisi mid 20 tu sio wewe umeshazeeka unaikimbia familia kurudi home kudoea hairuhusiwi)
shes gone? The new one you were teaching how to make juice? Ama nimechanganya? When I was pregnant I loved to do my chores. Hata deki. Mungu atakusaidia utazoea.
Leo mwanangu katimiza miezi minne. Namshukuru Mungu. Jioni saa kumi na mbili nitamuogesha ikifika 2 atakuwa kalala. Mie nitacheki Isidingo na movies kadhaa nilale saa 6.
Kesho nitamtrain housegirl mpya kazi ya kumlea mtoto tu. Ewe Mungu nipe nguvu. Huyu wa sasa hivi sijawahi hata kumpa ambebe. Lunch nitaenda Kilimani Bar Temboni kula mbuzi. Kisha hali ya hewa ikiruhusu nitaenda kuswim Luxury ya Mbezi. I hope sitasinzia ndani ya maji kwa sababu nahisi nina sleeping sickness siku hizi.
Nitarudi home jioni kucheki news, kuoga na kulala.
Sunday nitajaribu a new recipe God willing and sleep the whole afternoon.
Wewe Je?
take them for a run or something? Dogo akichangamka nitamnunulia German Shepherd ka puppy.
Sijaona kama baba mtoto umemtaja, hata kumpigia simu!!!!!!!!!!take them for a run or something? Dogo akichangamka nitamnunulia German Shepherd ka puppy.
Tena zaidi!
Hakuna mchezo wowote unaozidi American football kwa popularity Marekani. Inaanza football, Nascar, baseball, basketball, na ice hockey.
Nimemfukuza bwana, one day nimerudi home unexpectedly early (noon) sikumkuta then after an hour anarudi wearing my clothes. Sikufikiria zaidi ya kumfukuza!
Nimeshaanza kuzoea n l kinda like it, ingawa nafikiri nitamtafuta mtu wa kunisafishia madirisha at least once a month; na kwa ulinzi l have Mlinzi wa mchana na wa usiku.
Nakula left over ya jana (minced meat) na chips nilizokaanga for just 6 mins. Hiyo ni one of the advantage of being alone. LOL
OMG... likiwa kubwa si litamla?
Why not Chihuahua...
Weekend yangu jana jmosi nimetua ofisini mishale ya 3 asbh mpaka mida fulani yani saba, kisha nikazungusha tairi za saloon mpaka kigamboni shamba, ile jua limekuwa jekundu tayari nikawa nimeshatua
barber shop maandalizi ya j2, leo kama hivi asbh ibada ya kwanza then mlimani city, sasa naelekea home
back to da place whr i belong tayari kuianza j3.
Neno la leo church zaburi ya 138 nimeipenda hiyo
gud sunday pple
mimi nipo na nafamilia yangu leo jumapili pamoja na familia yangu tunapika chakula cha mchana na (mimi,mke wangu and my 2 nieces who are with me for the week end) then baada ya hapo tutaenda Mlimani city kucheki movies na mwishowe nawarudisha kwao
aint it obvious?
Naelewa kwa wamarekani ni hivyo
nimeuliza kwa wewe ambae umetokea TZ na probably ulikuwa
raised with soccer na maybe basketball...
je american football now is your first game too?
just curious...