MKATA KIU
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 3,481
- 8,605
Mi nipo ndo nimeingia home kwa b mkubwa hapa nimepata msos mzuri wa kifamilia ( nimeshazoea maisha ya ki bachelor msos ni nyamachoma na bia) hapa nachek chek tv na madogo navuta vuta muda nijisogeze mbezi garden hapo kupata bia mbili then nirudi kulala..
Kesho ninaamka mapema namchek chek b mkubwa anikopeshe kisela nirudi zangu geto.
J mosi nitakuwa geto tu pande za mwenge napiga shule hadi jion,,
J 2 church then nitaenda kumuaga mwanangu mmoja anaelekea job masasi ( amenunaje chezea ajira za serikalini wanavyotupa watu shamba)
Nimegundua Its so nice to be home hasa hasa kipindi hiki pesa haisomeki na tarehe hazisomi ( kwa sisi mid 20 tu sio wewe umeshazeeka unaikimbia familia kurudi home kudoea hairuhusiwi)