Tuko
JF-Expert Member
- Jul 29, 2010
- 11,180
- 7,356
Leo mwanangu katimiza miezi minne. Namshukuru Mungu. Jioni saa kumi na mbili nitamuogesha ikifika 2 atakuwa kalala. Mie nitacheki Isidingo na movies kadhaa nilale saa 6.
Kesho nitamtrain housegirl mpya kazi ya kumlea mtoto tu. Ewe Mungu nipe nguvu. Huyu wa sasa hivi sijawahi hata kumpa ambebe. Lunch nitaenda Kilimani Bar Temboni kula mbuzi. Kisha hali ya hewa ikiruhusu nitaenda kuswim Luxury ya Mbezi. I hope sitasinzia ndani ya maji kwa sababu nahisi nina sleeping sickness siku hizi.
Nitarudi home jioni kucheki news, kuoga na kulala.
Sunday nitajaribu a new recipe God willing and sleep the whole afternoon.
Wewe Je?
heeee? Mbona umemganda baba wa watu. Lol. Tupo bwana. Safari zote hizo angekuwepo na mimi na baby.
Haaya...