Ratiba yako ya weekend ikoje?

Ratiba yako ya weekend ikoje?

Actually Nitaenda Kuwapokea Wageni wangu AIRPORT, Kisha Nitawamuzisha pale HYATT REGENCY HOTEL after That Nitarudi Home Kwangu MBEZI BEACH ila Nitatumia GX110 Yangu, TOYOTA IST Nitaipark kwa kesho , Baada Ya Hapo Nitaenda MLIMANI CITY kufanya Shopping Ya Vitu kisha Nitakaa Pale SAMAKI SAMAKI Kidogo Nipige Japo JACK DANIEL moja Ili My BRAIN ikawe Sawa Kisha Nikitoka Hapo Nitapitia Pale BONJOUR shell Kuweka mafuta FULL TANK kwani Sipendagi Usumbufu Nikiwa Barabarani , After Raw itabidi Nirudi MBEZI BEACH kwangu Kisha Niende Nikawachukue Wageni Wangu Niwapeleke GYMKHANA ili Wakapate Kibali Cha Kucheza TENNIS pale Kwani Wanahobby Sana Hawa WaMAREKANI wangu, After Hapo Nitaelekea CHINESE DRAGON kwenda kupata Mishikaki ya Nyoka Kisha 2taingia CLUB 327 Pale Mikocheni upande wa V.I.P kwani w2 kama cc 2nacheza na DOLLAR baada ya Hapo 2tamalizia na RUNAWAY ...Hilo ndio Liratiba langu...

hahahaaaaaa. Haina mbaya WA KISHUA.
 
Back
Top Bottom