Ratiba ya uzee

Ratiba ya uzee

Mtamile

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2011
Posts
2,838
Reaction score
1,274
uzee huja taratibu, kwanza huanza kusahau majina, mpaka mtu akukumbushe sana na kuwataja watu wengine waliokuweko ndio unakumbuka, kisha unaanza kusahau sura, hata mwanao unaweza kumsahau, ukivuka kipindi hiki unajikuta mara nyingi unaanza kusahau kufunga zipu ukitoka chooni, hili somo huendelea na hukamilika pale unapoanza kusahau kufungua zipu wakati ukienda chooni baada ya hapa unaanza kusahau kabisa kwenda chooni, na wakati huu ndugu wote hukukimbia labda kama ulitengeneza pesa nyingi, watabaki wanajipendekeza wakingoja urithi......
 
Umenena mkuu

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Sitak hata kuusikia uzee,ila msiwaze kizazi chetu mbona hatufiki huko?
 
Hiyo kali mkubwa na haina ubishi.Kwakuwa kila mtu atapitia huko unless otherwise afe akiwa bado ni kijana.
 
Searching...100%
Loading...100%
Network Connected !

Near by Makunguru Lodge Mbeya.
 
Umekosea Kidogo uzee huanza kwa kushindwa kugegeda, Ulikuwa unapiga tatu bila mwishowe hata kuingia uwanjani ni kwa mbinde...! Loh...inaniuma mno
 
Halafu na mavituz yanakuwa hayapandi vizuri😱hwell:

Wee acha tu, utamu unauona hivihivi ...unakula kwa macho tu, mwishowe unaishia kuimba ule wimbo wa ngurueee pita weweeee sina mkukiii mieee.......qui qui qui fainali uzeeni
 
UJANA ni sawa na MCHANA na UZEE ni sawa na USIKU, HATA MCHANA UWE MREFU KIASI GANI USIKU LAZMA UINGIE.
 
Back
Top Bottom