princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 9,652
- 19,264
Mimi yani tunaangalia wote afu sio hata mbishi 😅 na niko positiveUnafuatilia boli mpaka raha,ukiwa na manzi kama wewe kuangalia mpira nje ya home upende kelele tu.
Mimi yani tunaangalia wote afu sio hata mbishi 😅 na niko positiveUnafuatilia boli mpaka raha,ukiwa na manzi kama wewe kuangalia mpira nje ya home upende kelele tu.
Sio tu jua hakuna pitch siipendi kama ya Tabora /Sokoine /na ule sijui ali hassan wa Arusha aisee...Naangalia mechi ya Tabora hapa aiseee jua ni kali balaa... Kuna ulazima gani wa hii mechi kuchezwa muda huu? Leo kuna mechi 2 tu, kwa nini zote zisichezwe muda mmoja?? Hizi timu wakati mwingine zinakosa mapato kwa sababu kama hizi.