Elimu ya Mtanzania ni Ujinga, kwa kutumia ujinga wake sifa ya anachokiwaza akikitoa kwa maneno ama kwa maandishi ni ujinga mtupu, na ujinga mtupu unadhihirishwa na maneno ya kimajungu majungu, fitina, kidomodomo, kuropoka na akili kuwekwa gizani. Haya ndio tunayaona mtu mwenye akili hawezi kusema ccm mahali popote waliwahi kujenga barabara, wale ni wasimamizi. Ni msimamizi kwa kuwa CCM si serikali bali kikundi cha watu waliojisahau kuwa wamepewa dhamana ya kusimamia maisha ya watu katika kipande cha Tanzania kwa misingi ya utawala bora, wakageuka kuwa walaji wa nchi, wauza raslimali, wapenda sifa , wapenda fitina, wachonganishi, wasiona upeo wa kuona mbele zaidi ya kuvaa shati za kijani, njano, na nyeusi, wakipenda kutukuzwa na kupambwa kwa nyimbo za musica wa dansi na taarabu, wanasifa mbaya sana hawa jamaa hawajui nini maana ya kitu kinaitwa utawala bora. BARABARA ZINAJENGWA KWA MKOPO AMA KWA FEDHA ZINAZOTOKANA NA JASHO LETU. ANAYESHANGAAA MBUNGE KUKAGUA MAENDELEO YANAYOTOKANA NA KODI ZETU NADHANI AKAPIMWE UWEZO WAKE WA KUFIKIRI MKISHINDWA KUJIPIMA WENYEWE. AKIWAMO ANAJIITA RIZT NA ITAHWAAAAAAAAAAA WAKE.