Ratiba ya mapokezi ya Lema kesho Arusha!

kila la kheri makamanda wote huko arusha. Salamu zenu kutoka Dsm.

Piiiiiiiipozzzzzzz
 
Da safi sana.....nasubiri pia kwa hamu january atakaporejea mjengoni baada ya muda mrefu.
 

:majani7:
 
kamanda pole pole bila karaa ili shujaa wetu asidhurike LISU WEWE NI JEMBE na MWENZAKO mungu awabariki
 
polic wale wanaobatilishaga taratibu za cdm hembu kesho wajipendekeze, wanabebwa na mafuriko ya machozi ya kina mama wale waliowavurugia biashara zao,watoto wao wakalala njaa, wengine hawkwend shule wakikusanya nyanya zilizomwagwa,

Lema karibu TENA Arusha tuko nawe adi lango la Kaburi
 
Hii yote itagharimu kiasi gani?

He has won the case, maisha yaendelee.

Hizi sarakasi za mapokezi na maonyesho itatofautisha vipi CHADEMA na CCM.

Nilidhania watu watashauri gharama, fedha na resource hizo zipelekwe somewhere else. Arusha tayari ngome yenu. Pelekeni hizo nguvu sehemu nyingine.

Mnawapa maadui wenu points rahisi sana. Kesho UHURU likiandika "Mbowe na Lema wachoma mabilioni ya chama kusheherekea ushindi" mtashangaa?

Washabiki wa CHADEMA wana hatari ya kukiua chama chao zaidi hata ya CCM. Kwa mfano baadhi ya washabiki wengi wanapenda slogan ya "tumeanza na mungu, tumemaliza na mungu". Kwenye siasa kuna mungu? Jifunzeni kutenganisha siasa na mungu.

Katika mazingira haya ya udini ukisema "umeanza na mungu, umemaliza na mungu" ni waislam wangapi watakua tayari kuwa wanachama? Wao si watahoji Allah yupo wapi? Wahindi nao? Wasio na dini je? Chama hakina dini, mwacheni mungu wenu huko huko. Hapa shabikieni itikadi na sera za chama.
 



.....Taarifa zilizopatikana punde ni kwamba.... Tembo kutoka Tarangire wakiambatana na sisimizi bila kusahau kakakuona....nao watakuja kutuunga mkono......NAHISI KISHINDO KIKUBWA HAPO KESHO!!!!!
 
Mwambie kuna tawi la kufungua Mt Meru, mbele ya pale anapolala mkulu. Natamani sana JK angekuwa Arusha ashuhudie mziki wake.
 
Tulianza na Mungu na tumemaliza na Mungu,wao wanapesa CCM sisi Chadema tunaMUNGU tunayempigania
 
Kwa taarifa yako mikutano ya cdm haina gharama coz hatuhitaji kugawa 2000 wala kukodisha lori.
 

Mimi tu nimepata hsia hadi machozi yanakaribia kutoka.....duuu!!! I wish kesho ningelikuwa Arusha. Hakika Haki haipotei.
 
Kama jeshi vile!-Kila kona magamba yanajamba tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…