Uchaguzi 2020 Ratiba ya Kampeni ya Mgombea urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu kuanzia Oktoba 18 - 27, 2020

Hizo gari ni fimbo tu na kuajust seat tu.zile siku saba impact yake ndo hii 😐
 
Waislamu walio wengi ni BAKWATA .PONDA ni siasa kali huwa anawaporomoshea mitusi BAKWATA

Ukishakuwa na PONDA tu ujue waislamu walio wengi ambao ni BAKWATA kura zao hupati
Hakuna mtu asiyependwa na waislamu wa BAKWATA kama huyo shehe Ponda
Masuala ya waaislamu wachie waislamu wenyewe, huyajui, Muislamu gani anapenda Bwakwata ccm
 
Wee zezeta kweli wewee..sasa meko ameenda kijiji gani??
 
Mwenyekiti wetu ameharibu kula ruzuku na michango,mgombea wetu ilipaswa akodishe chopa
 
Naona uwezekano mkubwa wa Lissu kuwekewa pingamizi jingine alafu wampe adhabu nyingine ya kutofanya kampeni ili asiweze kumalize ratiba yake kama alivyoipanga.

Lissu anapanga kuingia kwenye siku ya uchaguzi kwa momentum kubwa, sioni jinsi nyingine
ambayo CCM wanaweza kushindana nayo.
 
Hivi ratiba ya maeneo wanaiweka wao halafu NEC wanawapangia siku tu au kila kitu wanapangiwa na NEC? Nauliza hivyo maana sina nijualo kwenye siasa lakini naona kama kuna maeneo yanarudiwa huku mengine yakiachwa kabisa
Kwa uelewa wangu, chama kinatuma mapendekezo ya siku na maeneo wanayotaka kufanya kampeni halafu tume wanaridhia. Tume wanarekebisha ratiba pale tu wanapoona ulazima wa kufanya hivyo, kwa mfano ili ratiba za wagombea zisiingiliane.
 
Mh Lisu mpaka sasa ameshashinda sema anatafuta kura za nyongeza tu. Pia anawafikia wananchi wake kwakuwa wanatamani kumuona
 
Dah ila hiyo tarehe 26 ni bora apotezee hayo maeneo angekwenda huko nyanda za juu kusini ama Angeongeza siku moja mikoa ya kusini.
Huko Same kura zote keshapata sababu ni ngome ya CHADEMA bora angejikita kusini achukue kura za hasira. Siku mbili hazitoshi mikoa ya kusini angepiga 3 mfululizo
 
Kamanda usikariri mambo ya 2015.
 
Let everyone stands for one's RIGHT.
 
Hii ratiba imepangwa kwa ugumu makusudikale ili asiimalize, maana kuna wakati poliCCM watamzuia njiani.

Ila kiukweli, huyu mwamba anapumzi ya hatari.
 
Mkuu una maoni mazuri sana ila nadhani hapa kuna mahali wapinzani tunawapa advantage CCM.
Sheria ya uchaguzi ingebadilishwa ili kampeni zifungwe say tarehe 26, ili tarehe 27 mgombea anapumzika na kufanya vikao na mikakati ya siku ya uchaguzi hiyo 28 October.

Ila hii ya kufunga mkutano tarehe 27 jioni ilihali asubuhi yake uchaguzi unafanyika huwa inaleta usumbufu sana hasa mobilization majimboni. Unless kma Mnyika muda wote yupo ofisini kushughulikia mikakati tofauti na 2015 ambapo viongozi karibu wote walikua wagombea.
 
Safi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…