Uchaguzi 2020 Ratiba ya Kampeni ya Mgombea urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu kuanzia Oktoba 18 - 27, 2020

Mkuu, Muulize huyo mgombea wa chakubanga yeye kaenda vijiji vipi? Kama kila mikutano 3 anakata Moto! Afya mbovu watamuua huyo mzee wa roho mbaya
Ccm hawajielew wanafkiri nkwenda na nyaishoz kuna lami kama mh lissu alienda Ukerew kwa mtumbwi lkn ccm hawalijui hilo wao wanawaza barabara2

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Alipifika Chato Lisu alinywea hakuthubutu kuongelea ndege wala uwanja was Chato
Ulidanganywa na nani nyakahiga na lulenge ni kando ya barabara tena ya lami tatzo hamtembei

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Alipohutubia barabarani hakuingia ndani vijijini

Anahutubia tu sehemu za nje zilizo barabarani tu .Yeye in mtu wa vimiji vya mabarabarani tu
 
Ukerew na lulenge kuna rami? ?


Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Alihutubia Rulenge pale mjini na Ukerewe pale mjini huyo akaondoka anacheka Cheka kuwa nimepiga kampeni hasa.Rulenge ilivyo kubwa kuhutubia tu mjini utasema umepiga kampeni kubwa? Ukerewe ilivyo kubwa unahutubia tu pale mjini utajidai ohhh Mimi ukerewe nimepiga kampeni hasa?

Lisu ni mzururaji tu wa mijini hayuko kwenye kampeni.Kipigo atakachopata tarehe 28 October Huyo mbelgiji mzurura mijini haji kukisahau
 
Mbona mgombea wenu na mabango yake amelala2 hawez kufany kampein hadi kiyoyoz na saiz hadi mbuz wamemchok wanakula mabango yak
Heli mtembea bure sio sawa na mkaa bure

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Ratiba ya kipuuzi anarudi Dodoma na Singida na Tanga kufanya nini? Hawa NEC ni vimeo kabisa.
Ratiba inapangwa na wagombea halafu wanapeleka tume ili tume wasigonganishe wagombea sehemu moja.
Kwa hiyo hapo mpuuzi ni Lissu siyo NEC, aliyeomba hiyo ratiba ni Lissu NEC waliidhinisha tuu.
 
Alipifika Chato Lisu alinywea hakuthubutu kuongelea ndege wala uwanja was Chato

Alipohutubia barabarani hakuingia ndani vijijini

Anahutubia tu sehemu za nje zilizo barabarani tu .Yeye in mtu wa vimiji vya mabarabarani tu
Show za lissu hazina wasanii wala mabango wala Malori lkn zinawatoa kamasi


Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Show za lissu hazina wasanii wala mabango wala Malori lkn zinawatoa kamasi


Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Yeye mwenyewe ni ze comedy tosha
Nenda kaulize yeyote aliyehudhuria mikutano ya Lisu muulize Lisu alisemaje mkutano watakwambia hawakumbuki

Mgombea pekee ambaye watu hawamwelewi anaongea nini ni Lisu

Hata humu jamii forums waliacha kuandika alichosema wanapist tu ohh mapokezi ya Lisu mahali Fulani na picha za kuchakachua za waliohudhuria basi

Hawaandiki alichosema sababu hakipo!!!
 

Kwani humo njiani anamosimamishwa huwa ni miji kwenda huko na ujinga wako na madiwani watafanya wapi kampeni hivi kuna mgombea wa urais amewahi kwenda vijijini kutafuta kura hata hao wa CCM. Sijui kwanini huwa comment zako hazina maana kiasi. Mgombea wenu hata miji imemshinda kila akifanya siku moja garage halafu unamsema Lissu, ratiba ya meko iko wapi au hadi apige simu kuwa leo naenda ndipo atayarishiwe
 
Singida ni nyumbani kwake, Sasa akikosa kura kwao atapata wapi Tena? Acha arudierudie Hadi wamwelewe.
Singida hawamtaki toka awe mbunge hajawahi hata kuwasemea chochote hawataki .Kule watu wana misimamo ya kufa mtu

Sasa anaogopa kuwa akikosa kura kwake itakuwaje? Chadema watamfukuza kuwa hana faida kwenye chama chao
 
Pamoja na ratiba hii lakini jamaa anajaza watu sio mchezo! Hii ratiba mtukufu yule na yeye apewe ya mikutano minne kwa siku kama hajakata moto! Niletee Gwajima, Nileteeeni Gwajima, Nileteeeeeeni Gwajima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…