prosper cliff
JF-Expert Member
- Jan 19, 2017
- 647
- 662
Ccm hawajielew wanafkiri nkwenda na nyaishoz kuna lami kama mh lissu alienda Ukerew kwa mtumbwi lkn ccm hawalijui hilo wao wanawaza barabara2Mkuu, Muulize huyo mgombea wa chakubanga yeye kaenda vijiji vipi? Kama kila mikutano 3 anakata Moto! Afya mbovu watamuua huyo mzee wa roho mbaya
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app