Ratiba ya JF get together party 15/12/2018

Kutakuwa na ku
Habarini za wakati huu members na msiokuwa members humu Jamii forums.
Wote nawasalimu kwa jina la Allah na Mungu mmoja.
Za muda huu.

Kama ambavyo tumejiandaa katika kuelekea kufanya party yetu hapo tarehe 15/12/2018
Link 1
Link 2
Ifuatayo ndio ratiba kamili ya matukio yatakayojiri siku hiyo:
Tumeamua kuitoa ratiba hadharani maana kuna maswali mengi sana Pm ya nini ambacho kitafanyika siku hiyo.
Hivo basi, ratiba ni hii ila mengine yatakayojitokeza katikati basi tutayaweka ndani ya ratiba.
Party inaanza saa 4:00 jioni.
Ila rasmi tutaanza 5:00 ili kama kuna cha kurekebisha turekebishe ndani ya lisaa limoja hilo.

MUDA-TUKIO
5:00-6:00
Members kuingia ukumbini.


6:00-6:15
Mgeni/wageni rasmi kuingia ukumbini


6:15-7:00
Kufungua rasmi party yetu kwa kugonganisha shampein kwa members wote pamoja na mgeni/wageni rasmi


7:00-7:30 to 8:15
Maneno machache kutoka kwa mgeni/wageni rasmi.


8:15-9:00
Chakula na vinywaji kwa members wote pamoja na mgeni/wageni rasmi


9:00-9:30
Chatting and talk talk kwa wote


9:30-10:00
Maneno toka kwa waandaaji na suprise toka JAMII MEDIA LTD


10:00-10:15
Mgeni/wageni rasmi kufungua muziki na kuwakaribisha members kujumuika nao.


10:15-midnight
Dancing, ChitChatting, Enjoying etc....


Kasi ya utoaji michango iongezeke.
Tumepanga party ifanyike kwa idadi ya watu 50 ila mpaka sasa ni members 26 tu waliotoa.
Hivyo bado tunauhitaji wa members 24 ili tufunge dimba letu na kazi ibaki ya kuandaa masuala yaliyosalia.

Bado tuko na maongezi na JAMII MEDIA LTD ambao ndio wadhamini wakuu wa Party yetu ili tujue kipi na kipi kifanyike (cha kuongezea siku hiyo)
Mkumbuke pia, kutakuwa na Suprise kwa watu 10 wa mwanzo kuingia ukumbini.
Surprise hizo zinatoka JAMII MEDIA.

●Red Carpet
●Picha
●Video
●Music
●Vyakula
●Vinywaji
●ChitChat
●Dance
●Kubadilishana mawazo na members pamoja na mgeni/wageni rasmi

Nyongeza:
Kuna swali nimeulizwa Pm kama tunaweza kuruhusu members wasio wanachama ramsi wa Jf kwa kujiunga kama wanaweza kuhudhuria party hiyo,
Jibu ni NDIO.


Hata kama sio mwanachama wa kujiunga Jf unaruhusiwa kutoa mchango na kushiriki cha umuhimu ni kufuata kanuni na sheria zitokazo ndani ya Jamii Forums.

NB:
Nafasi zilizobaki ni 26.
Tumeamua kufanya ya watu 50 ili iwe bora na ki-classic zaidi.
Umebaki mwezi 1 na wiki kama 2 au 3 tufanya party yetu.

Mchango ni sh elfu thelatini (30,000)
Namba za mchango ni zilezile:
TigoPesa
0716-394882 May


M-Pesa
0756-986874 Mwanahawa Hassan.


Dress code:
Jeans: Bluu/Nyeusi
Kaptura ya Jeans: Bluu/Nyeusi
Blouse/Tshirt: Nyeupe/Nyeusi
Gauni nyeusi ndefu/fupi chaguo lako.

Dress to kill.

Wenu waandaaji,
Mzigua90 & Madame B tukishirikiana na JAMII MEDIA LTD.
Asante.

Wale wakatisha tamaa...mnakaribishwa.
kutakuwa na utambulisho wa I'd fake zetu ? Hapo ndio napataka Mimi
 
Back
Top Bottom