Bwashee Machui
Member
- Jan 2, 2019
- 65
- 79
Habari..
Katika maisha yetu ya kila siku ni vyema kuwa na RATIBA yoyote inayoongoza maisha yetu kama ni kwa Wiki,Mwezi, Miezi au hata Mwaka...Almuradi tuu tusiache kuwa na RATIBA inayotoa kipaumbele katika Maisha yetu..
Mfano nkiwa mdogo kuna familia pale street ilikuwa na ratiba ya diko kwa Wiki hivyo Bi mdashi yeye haumizi medula kweenye suala la diko kabisa yaani..
Ni mawazo yangu tuu