Dalton elijah
JF-Expert Member
- Jul 19, 2022
- 781
- 1,831
Timu ya Kagera Sugar FC ya mjini Bukoba, imeshuka rasmi daraja na hatutakuwanayo msimu ujao kwenye ligi kuu kufuatia ushindi wa Pamba jiji iliopata leo dhidi ya KenGold FC.
Kwa ushindi wa leo, Pamba jiji imefikisha alama 30 kwenye nafasi ya 11, ikifuatiwa na Tanzania Prisons nafasi ya 12 pointi 30, KMC FC nafasi ya 13 pointi 30, Fountain Gate nafasi ya 14 pointi 29 na Kagera Sugar iko nafasi ya 15 na alama 22.
Kagera Sugar imebakiza mechi mbili ambazo hata ikishinda zote, haiwezi kufikisha alama alizonazo wa juu yake ambaye ni Fountain Gate (29).
Kwahiyo, Kagera Sugar itaungana na KenGold SC kwenye NBC Championship msimu ujao 2025/26 huku Mtibwa Sugar na Mbeya City wakirejea ligi kuu na kuchukua nafasi zao…
Neno moja kwao…..
#NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates #KageraSugar #NBCChampionship