Rasmi RCS chats message zimepigwa pin

Rasmi RCS chats message zimepigwa pin

yaani hapo unaamini umeficha namba yako kabisaaa!!!
umeweka urahisi wa kubakiza baada ya pili kabla ya ya tano ni zipi hizo mbili.

nimeifuta nimekunukuuga ujiongeze labda kama upo poa humu no mdomo
Hahahaha humu Niko poa Sina shida na mtu. Hata hivyo Kuna tarakimu tatu hazipo kati ya kumi. Ili unibaini inabidi ufanye majaribibio zaidi ya 200 ya kujua full NAMBA kitu ambacho inabidi itumike akili ambayo ni bidhaa adimu kwa mtumiaji wa nguvu.
 
5860.jpg
 
Namba yako nimebakiza mbili tu za baada ya 07**6
tulia hapo.. badala uchukulie nimekufungua uwe kismati.. unadai eti mara 200 😆 eendelea kuota
na ujue ndio akili umesema zinatumika kwa jambo rahisi umejidaiiii eeeh .. furahia uwepo wako humu kama kawa...

ciao
 
Sina shida ndio maana nikaacha open hivyo, ningweza hata kuacha NAMBA nzima maana Sina shida na walimwengu.
 
Back
Top Bottom