The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,097
Haya bana welcome
preta is me....m proud to be your host in here.......come inside....plz
unaonekana mstaarabu wewe.
Humu tutakuzingua tu. Tupo for fun zaidi. U seriouse kiduchu sana.
Well this is in most forums but ukiingia kwenye Jukwaa la siasa utani ni negligible.
Haya bana welcome
Preta is me....m proud to be your host in here.......come inside....plz
nafikiri atakuwa tayari
Wakuu,
baada ya kuwa msomaji wa jamvi hili kwa miaka kadhaa kwenye maswala ya siasa, sasa nimejiunga rasmi na nia ni kwenda kuleeee..... Kwenye jukwaa la mahusiano, mapenzi, urafiki...... Nadhani ndio jukwaa linalonofaa zaidi kipindi hiki ninachotafuta mchumba. Wazoefu wa kule naomba mnipokee na kama kuna single lady humu anaweza kuendelea kuni-PM kabla sijapost rasmi nia yangu ya kutaka kupata mchumba ambaye ni GREAT THINKER.
Nawasilisha.
Ochoko te!
walio serious humu hamna.Asante kwa ushauri, ila kama kuna mtu yupo serious anakaribishwa.
Ja kanye?
Asante kwa ushauri, ila kama kuna mtu yupo serious anakaribishwa.
a ja sirati into ija kanye?
Naona unatafuta mchumba kisanii sijui kama utafanikiwa kumpata
karibu.sijui kwa nini nimevutiwa na wewe....siui kwa vile ni mjaluo mweupe manake wengi ni weusi..
Na lile la imani ndio kabisaa :hug:Well this is in most forums but ukiingia kwenye Jukwaa la siasa utani ni negligible.
atampata ila ajiandae kumpata mchumba anayelala kwenye keyboard akichat na wapwa na binamuzNaona unatafuta mchumba kisanii sijui kama utafanikiwa kumpata
wakuu,
baada ya kuwa msomaji wa jamvi hili kwa miaka kadhaa kwenye maswala ya siasa, sasa nimejiunga rasmi na nia ni kwenda kuleeee..... Kwenye jukwaa la mahusiano, mapenzi, urafiki...... Nadhani ndio jukwaa linalonofaa zaidi kipindi hiki ninachotafuta mchumba. Wazoefu wa kule naomba mnipokee na kama kuna single lady humu anaweza kuendelea kuni-pm kabla sijapost rasmi nia yangu ya kutaka kupata mchumba ambaye ni great thinker.
Nawasilisha.