Wont be the same
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,564
- 2,483
Benson Kigaila ambaye alikuwa Naibu Katibu Mkuu CHADEMA Bara amesema yeye na Wanachama wenzake wamejitoa katika chama hicho kutokana na kutoridhishwa na yanayoendelea
Ametangaza uamuzi huo akiwa pamoja na aliyekuwa Makamu wa CHADEMA Taifa - Zanzibar, Salum Mwalimu, aliyewai kuwa Katibu Mkuu wa Baraza la Wanawake CHADEMA (BAWACHA), Catherine Ruge, John Mrema na Julius Mwita
View: https://www.youtube.com/live/Z_apgr0qkZM?si=Lj9DabbYPf6LP8KC
===
Updates
Katika mkutano huu na waandishi wa habari wajumbe wote wa sekretarieti ya CHADEMA Taifa iliyopita wapo isipokuwa watu wawili ambao ndiyo hawakuwepo hapo kwa mujibu wa John Mrema. Ambao ni;
Kigaila anaendelea kueleza kuwa Kuna makundi ngazi ya chini kwenye chama wana vikao vya kuwaengua ama kuwafuta uanachama wanachama waliokuwa wanamuunga mkono Freeman Mbowe.
Wanaeleza pia kuwa ndani ya Chama kuna udikteta uchwara na hivyo wapo kwa ajili ya kuupinga udikteta huo ndani ya chama. Aidha hakuna haki ya kusikilizwa ndani ya chama wala hakuna haki ya watu kuhoji na wanaofanya hivyo wanaitwa wasaliti, njaa. Wanahoji Je, kati ya wao na aliyepinga maridhiano chini ya Mwenyekiti Freeman Mbowe nani msaliti?
G-55 wanasistiza kama unataka kuzia uchaguzi na hakuna mkakati wa kuzuia uchaguzi maana yake umeamua CCM wapite bila kupigwa.
Rasmi wamesema wamejiondoa CHADEMA lakini hawatokwenda CCM, muda ukifika wataeleza ni wapi wanapohamia. Sababu kubwa ni kutokutaka kuwa sehemu ya kifo cha CHADEMA kutokana na yanayoendelea. Hayo yamesemwa na Benson Kigaila aliyekuwa Naibu katibu mkuu Chadema (Bara)
Soma pia:

- Catherine Ruge - Aliyekuwa Katibu Mkuu BAWACHA-Taifa
- Julius Mwita - Aliyekuwa katibu wa Sekretarieti ya CHADEMA Taifa
- John Mrema - Aliyekuwa Mkurugenzi wa itifaki, mawasiliano, uenezi na mambo ya nje
- Salum Mwalimu - Aliyekuwa Naibu Katibu mkuu CHADEMA, Zanzibar
- Benson kigaila - Aliyekuwa Naibu katibu mkuu CHADEMA, Bara
Kigaila anaendelea kueleza kuwa Kuna makundi ngazi ya chini kwenye chama wana vikao vya kuwaengua ama kuwafuta uanachama wanachama waliokuwa wanamuunga mkono Freeman Mbowe.
Wanaeleza pia kuwa ndani ya Chama kuna udikteta uchwara na hivyo wapo kwa ajili ya kuupinga udikteta huo ndani ya chama. Aidha hakuna haki ya kusikilizwa ndani ya chama wala hakuna haki ya watu kuhoji na wanaofanya hivyo wanaitwa wasaliti, njaa. Wanahoji Je, kati ya wao na aliyepinga maridhiano chini ya Mwenyekiti Freeman Mbowe nani msaliti?
G-55 wanasistiza kama unataka kuzia uchaguzi na hakuna mkakati wa kuzuia uchaguzi maana yake umeamua CCM wapite bila kupigwa.
Rasmi wamesema wamejiondoa CHADEMA lakini hawatokwenda CCM, muda ukifika wataeleza ni wapi wanapohamia. Sababu kubwa ni kutokutaka kuwa sehemu ya kifo cha CHADEMA kutokana na yanayoendelea. Hayo yamesemwa na Benson Kigaila aliyekuwa Naibu katibu mkuu Chadema (Bara)
Soma pia:
- Pre GE2025 - John Mrema avuliwa uanachama wa CHADEMA
- Pre GE2025 - DSM - Patrick Assenga avuliwa Uanachama CHADEMA
I am a staunch supporter of Chadema, lakini yaliyoendelea wakati wa uchaguzi yalinitia doa sana. Lisu was my favorite politician, mtu niliyemuamini sana kuliko Mbowe. But we wanted a smooth transition to preserve the party members' unity! Ona sasa kinachotokea...mara G55, mara chauma..... very sad!
..kwa haya anayofanya Mrema ni uthibitisho kabisa chadema ilikuwa compromised na ccm/dola na hivyo chama kisingefika popote! elewa pia dola inatumia njia zote kudhoofisha upinzani na mojawapo ni hii ya kununua watu ndani ya chama ili wawe sehemu ya kukidhoofisha chama kwa kuanzisha migogoro..angalia ishu ya wabunge 19 halafu bado unaamini Mbowe, kigaila, Salimu Mwalimu, Mrema wangeweza kukifikisha chama sehemu nzuri tena..? sahau!
Kuhamia CCM itakuwa Worst decision ever, CCM ni jabali na ina Political figures wengi tu Potential hao G55 hakuna ata mwenye influence kama watakuwa Paid kwenda Chama tawala Ili kudraw attention ya issue ya Lissu itakuwa ni for a very short time kama walivofanya Leo, The rest hawana Platform yoyote ya Kufurukuta Chama cha Mapinduzi
Italeta picha gani kama wakienda huko wanakoenda kama kundi? Kuna coincidence kwenye watu wazima 50 kufuatana kiitikadi namna hii? Ikiwa kuna negotiation zimefanyika, wote watapata kitu au kuna watakaobaki wasindikizaji? Kama end game ni kushiriki uchaguzi, nini mategemeo yao kwenye na baada ya uchaguzi? I hope wana mpango madhubuti, itakuwa shame kwa ambao ceiling yao ya kisiasa itakuwa imefikia kikomo.