Rasmi: CCM yafutika Monduli nzima!

Rasmi: CCM yafutika Monduli nzima!

Hizo ni Kadi za Lowassa alizowanunulia na kuwalipia ada ya Uanachama ili apate Wadhamini wengi kipindi yupo CCM wenzie wakastuka wakamkata.
 
Yani maccm ni wabishi alafu ni wagumu kuelewa yani october mtakaposkia nec wakisema mh. Lowasa ndiye rais wa awamu ya 5 tz ndio mtaanza kukimbia nchi.
 
Zaidi ya wanachama mia tatu wa CCM kutoka jamii ya kifugaji katika kata ya Engaruka wilaya ya Monduli wamerudisha kadi za CCM na kujiunga na chadema huku wakidai maamuzi yao yametokana na utashi wao binafsi kwa kuzingatia hali halisi ya kisiasa ilivyo hivi sasa

ITV ilifika katika kijiji cha Engaruka na kushuhudia mamia ya wanachama waliyo kusanyika katika mkutano wa hadhara kukusanya kadi za CCM kuzichoma moto na kuchukua kadi za CHADEMA.

Kwa hali ya kisiasa ilivyo hapa Monduli ni wazi UKAWA wanatarajiwa kupata viti vyote vya udiwani,nafasi ya ubunge na mgombea Urais UKAWA Edward Lowassa anatarajiwa kupata ushindi wa 99% katika jimbo la Monduli.
 
mimi niko Chato Geita na msimamo wetu ndio huo kwani kati ya kata 20 CCM ina kata moja hapo hujapata jibu tu na ukabila mnaotumia huku hakuna tuko makabila mchanganyika .

Acha uongo,upo Chato ya nchi gani
 
mimi niko Chato Geita na msimamo wetu ndio huo kwani kati ya kata 20 CCM ina kata moja hapo hujapata jibu tu na ukabila mnaotumia huku hakuna tuko makabila mchanganyika .
WAOOOOOOOOOOOOOOOO

MSALIMIE LECTURER WANGU DR LUKANIMA NAJUA ATASHINDA CHATO NAKUMUAIBISHA MAGUFULI ASUBUH SANA 25 OCTOBER CHATO OYEEEEEEEEE CHADEMA OYEEEEEEEEEE UKAWA JUUUUUUUUU Wataisoma
 
Ukabila bado ni tatizo Afrika,hao wamasai wamevutwa na umasai tu,ilipaswa wajiulize huyu Mbunge wao amewaletea mabadiliko gani ktk kipindi chake cha uongozi.Maana bado wanaishi kwenye manyata na shida kubwa ya maji,wakati mbunge wao huyo huyo anajitapa kwamba yeye ndiye aliyewezesha maji ya ziwa victoria kufika Shinyanga
 
Masikini Namelock Sokoine! Angesoma alama za nyakati akaja UKAWA wala hata kampeni asingepiga.
 
Poleni sana na munavyo jidanganya kuwa lowasa atakuwa rais wa ichi hii mna kazi rais ni makufuli utaki ajipige kitanzi...
 
Wamasai wanaakili kuliko hata nyie mliosoma lakini mnashindwa kujua tulipaswa tuwe level gani ya maendeleo kwa miaka 53, hawa wanaona ccm mmefanya vizuri nadhani hata darasani alikuwa wanakalili tuu
 
Ccm ndio mnaleta ukabila na udini sasa ukanda, mlisema cuf waislam, mkasema chadema wakatoliki, wachaga huku kiongozi mmoja tu ndio mchaga ambaye ni mbowe, sasa mmeona lowasa anatoka monduli ni mbali kidogo na moshi mkaona mjumuishe kanda. Ooh ukanda huku ni kutugawa watanzania
 
Mtu huwezi kuamini kabisa kwamba sehemu iliyokuwa na wanachama 100,000 CCM . Wanachama 99,998 wanaki hama chama naku baki wana chama 2 tu. Mpaka hapo ni vema chama cha mapinduzi kikajipima na kutafakari vizuri.
 
Back
Top Bottom