Rasmi: CCM yafutika Monduli nzima!

Rasmi: CCM yafutika Monduli nzima!

Mondulı???Mnataka watu washndane kwa misingi kwamba mgombea anatoka upande wetu sio??Karıbia nusu ya Watanzani wanapatika LAKE ZONE.Shaurı yenu na mambo yenu na ubinafsı wenu.
huko lake zone mbona kuna wabunge wa vyama vya upinzani mkuu?
 
Na bado makamanda popote mlipo endeleeni na kazi ya kuelimisha watu tuitokomeze Tanzania mzima ccm ndio hadui yetu kwa sasa
 
Vyemaaa na sehemu nyingi nchi hali ni hiyo hiyo subirini muone lowasa atakapoanza kuzunguka nchi nxima ccm watakimbia.
 
Nipo zenji .sijawahi kupiga kura ila mwaka huu lazima turudi na familia yangu dar. Ntachukua likizo, mimi wife, shemeji zangu na wote nilio nao lazima tuilaze hii ccm chini. Mwaka huu kisu cha shingo. Viva ukawa
 
huko lake zone mbona kuna wabunge wa vyama vya upinzani mkuu?

Hapo nyuma Tanzania haikuwa hvyo, kiongozi alichaguliwa kwa sifa na eneo.Mnachokfanya nyie na hao watu wa Monduli na Kaskaz ni ubinafsi na ukanda.Mwaka kura zitapgwa kwa utaratibu na nyie ndo waanzilishı.Mlishaisaliti Chadema toka hata El akiwa CCM kısa anatoka kwetu na ana nafasi ya kushnda.
 
Mkuu lake zone ip? kiufip makufuli atapigwa kuanzia kagera,geita wanagawana,mwanza,kigoma,na shinyanga watagawana
 
382
Sio Monduli tu, Arusha, na maeneo mengi ya umasaini CCM imelamba garasha. Hakuna kitu tena. Hata waliobaki ni wamebaki ili kukiliza CCM sawasa. Watu mpaka wamelia halafu wewe unazani CCM itaendelea kupendwa na Team Loawassa. Nimepata taarifa pia Iringa, Dodoma, Mbeya, Mwanza. Masalia yaliyobaki ni ili kukimaliza sawasawa.
 
Zaidi ya wanachama mia tatu wa CCM kutoka jamii ya kifugaji katika kata ya Engaruka wilaya ya Monduli wamerudisha kadi za CCM na kujiunga na chadema huku wakidai maamuzi yao yametokana na utashi wao binafsi kwa kuzingatia hali halisi ya kisiasa ilivyo hivi sasa

ITV ilifika katika kijiji cha Engaruka na kushuhudia mamia ya wanachama waliyo kusanyika katika mkutano wa hadhara kukusanya kadi za CCM kuzichoma moto na kuchukua kadi za CHADEMA.

Kwa hali ya kisiasa ilivyo hapa Monduli ni wazi UKAWA wanatarajiwa kupata viti vyote vya udiwani,nafasi ya ubunge na mgombea Urais UKAWA Edward Lowassa anatarajiwa kupata ushindi wa 99% katika jimbo la Monduli.

11998812_624371797704439_2213751568349681379_n.jpg
11219004_624371794371106_3071799557566631621_n.jpg
11954798_624371791037773_4062953202822482515_n.jpg
 
Wale viongozi wa CDM waliokimbia CDM huko Monduli bila shaka watakuwa wanatamani kurudi...
 
Ngoja wasambaratike tu Kwa Maana Hakuna Namna. Slaha Zhao zote Zimeshafail Salsa Ni Uzushi Wa Udini na Kutishia kutumia Rwanda....ile Mauwaji....Ni Lowassa tu.
 
Back
Top Bottom