Mjusi Sharobalo
JF-Expert Member
- Sep 4, 2025
- 8,302
- 14,620
Nikutakie mchana mwema ewe mwana mbogamboga mnafiki muombea mabaya watu wasifanikiwe.Lissu ni mwanasheria mzuri sana lakini hawezi kuwa raisi wa nchi kwa kukosa hekima, cheo kikubwa ambacho anaweza kuwa nacho ni mwanasheria mkuu.
Aiseeee! Nchi ya hovyo hii jitu lipo bungeni hata sec ipo kushoto mbogamboga ni watu wa hovyo sana.
Ni upuuzi mwingi sana.Halafu wanasifia TRA kwa kuvuka lengo la ukusanyaji kodi. Yaani wanawakamua wananchi ili kuwalipa watu kama hawa
Nami nakutakia siku njema, ewe mwenye chuki zisizo na tija, wewe kuwa Chadema na mwingine kuwa CCM hakujawafanya kuwa si watanzania. Tuwe na hoja za msingi zenye kuleta maslahi kwa nchi nzima.Nikutakie mchana mwema ewe mwana mbogamboga mnafiki muombea mabaya watu wasifanikiwe.
Hizo hoja zako za hovyo nenda ukajadili na wanambogamboga wenzako hukohuko!Nami nakutakia siku njema, ewe mwenye chuki zisizo na tija, wewe kuwa Chadema na mwingine kuwa CCM hakujawafanya kuwa si watanzania. Tuwe na hoja za msingi zenye kuleta maslahi kwa nchi nzima.
Hivi kweli wewe huyu unataka ndiyo awe raisi wa nchi?
View: https://youtu.be/Pgu4VfqBGKs?si=9ZsKGWdJTSbDLh7P
Mbunge wa Jimbo la Kigoma Mjini, Mheshimiwa Clayton Revocatus Chipando maarufu kama Baba Levo , ametembelea Ofisi za Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima (TEWW) leo tarehe 28 Januari, 2026 Jijini Dodoma, kwa lengo la kujiunga na elimu ya Sekondari kwa njia mbadala.
Katika ziara hiyo, Mh. Chipando alipatiwa maelezo mahsusi pamoja na taratibu za kujiunga na masomo ya sekondari kupitia TEWW, na tayari amepewa control number kwa ajili ya kulipia ada ili aanze masomo yake mara moja. Hatua hiyo inaakisi dhamira yake ya kuthamini elimu kama nguzo ya maendeleo binafsi na ya jamii.
Mh. Chipando aliambatana na Mh. Asha Feruzi (MB), Mbunge wa Viti Maalum anayewakilisha vyuo na vyuo vikuu, ambaye kabla ya kuingia Bungeni alikuwa Mhadhiri Msaidizi wa TEWW.
Ikumbukwe kwamba, TEWW ilianzishwa kwa Sheria ya Bunge Na. 12 ya mwaka 1975, pamoja na majukumu mengine, ikiwa na jukumu la kutoa elimu ya watu wazima na elimu nje ya mfumo rasmi kwa rika zote, ili kuchochea maendeleo endelevu ya Watanzania.
View attachment 3536526
View attachment 3536527
TEWW (Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima)Teww ndiyo nini..kirefu chake. Si aende UDSM ahonge apate PhD kama akina trat and trab na wengine
Trending
Kuna watu waki ishiwa na hoja huleta vioja.Hizo hoja zako za hovyo nenda ukajadili na wanambogamboga wenzako hukohuko!
Hata vimbwanga huwepo.Kuna watu waki ishiwa na hoja huleta vioja.