elimu ya memkwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    JamiiForums Tanzania Elimu ya MEMKWA bado ipo?

    Nina ndugu yangu katoka kijijini hakubahatika kupata elimu ya msingi Naombeni msaada kama mpango wa MEMKWA bado upo? Nahitaji kujua wapi anaweza kupata msaada.
  2. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Rasmi Baba Levo Ajiunga na MEMKWA (TEWW)

    Mbunge wa Jimbo la Kigoma Mjini, Mheshimiwa Clayton Revocatus Chipando maarufu kama Baba Levo , ametembelea Ofisi za Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima (TEWW) leo tarehe 28 Januari, 2026 Jijini Dodoma, kwa lengo la kujiunga na elimu ya Sekondari kwa njia mbadala. Katika ziara hiyo, Mh. Chipando...
Back
Top Bottom