Hiyo kugonga MEZA babutale anaweza haswa.Elimu sijui FF, F6, digirii havina umuhimu nchi hii; watu tunaowataka kwenye bunge letu hili ni wajue/waweze tu kugonga meza baasii
Katika dalili kuwa dunia imefika mwisho ni kuwa na hali ya mkweli anaonekana muongo na muongo huaminiwa, na umma kusemewa na watu wasiyostahili.Hebu ondoa hilo neno Mheshimiwa kwa hiyo takataka ni kutukosea adabu waheshimiwa tuliopo mjini na JF nzima kwa ujumla.
Kuingia bungeni kwa kura zipi alizopata? Au hizo asilimia 98 walizopata na mama yao.Katika dalili kuwa dunia imefika mwisho ni kuwa na hali ya mkweli anaonekana muongo na muongo huaminiwa, na umma kusemewa na watu wasiyostahili.
Baba Levo ni muwakilishi wa watu wa Kigoma mjini na ndiye mwenye kuwasemeya watu wake wa jimbo lake tena bungeni, sasa mimi na wewe ni nani wa kupinga hilo?
Ukishakuwa mbunge tayari umeshakuwa muheshimiwa.
Ukishajua sababu huto ona ajabu.Kuingia bungeni kwa kura zipi alizopata? Au hizo asilimia 98 walizopata na mama yao.
Usinifundirhe imani potofu siwezi kukubali kuishi na mtu mwenye dhambi, hata neno la mungu litanishangaa, hizo ni hoja dhaifu kwa watu mnaopenda kufata mikia hadi kuwabatiza majina ya miungu watu kama hayo unayo yaleta hapa.Ukishajua sababu huto ona ajabu.
Hayo yameshapita, tulichobaki kukifanya ni kusema kweli, kuupenda ukweli na kuuishi ukweli kinyume cha hivyo tusubiri maangamio.
Kila mmoja na imani yake ndani ya moyo wake, kwa ustawi wa jamii tunaangalia maslahi mapana ya umma.Usinifundirhe imani potofu siwezi kukubali kuishi na mtu mwenye dhambi, hata neno la mungu litanishangaa, hizo ni hoja dhaifu kwa watu mnaopenda kufata mikia hadi kuwabatiza majina ya miungu watu kama hayo unayo yaleta hapa.
Hakuna manufaa wala maendeleo kupitia ccm ni wakati wa mabadiliko sasa.Kila mmoja na imani yake ndani ya moyo wake, kwa ustawi wa jamii tunaangalia maslahi mapana ya umma.
"Be cruel to be kind"
Wakati mwingine lazima uchukue hatua ngumu, useme ukweli mchungu, au uwe mkali kwa muda mfupi, ili kuleta manufaa makubwa au wema wa kudumu baadaye.
Mimi ninakubaliana kuwa hakuna maendeleo nchini ya watu, lakini tukisema chini ya CCM hapo kidogo nina mtazamo mwingine, kwani barani Afrika kuna nchi gani yenye maendeleo ya watu?Hakuna manufaa wala maendeleo kupitia ccm ni wakati wa mabadiliko sasa.
Wewe nawe ufahamu wako unahitaji marekebisho gereji.Mimi ninakubaliana kuwa hakuna maendeleo nchini ya watu, lakini tukisema chini ya CCM hapo kidogo nina mtazamo mwingine, kwani barani Afrika kuna nchi gani yenye maendeleo ya watu?
Nataka ufikirie kwa kina, tatizo la Tanzania si tatizo la kubadilisha chama bali ni tatizo la kimfumo uliyowekwa na wanaojiita waendesha dunia, mnaaminishwa demokrasia ndiyo italeta maendeleo, hizo ni ndoto. Ikiwa hao wakubwa watataka waafrika waendelee basi inawezekana hivyo, lakini hawapo tayari kwa hilo.Wewe nawe ufahamu wako unahitaji marekebisho gereji.
Naelewa yote hayo ndugu ila kuendelea na haya mambogamboga ni hapana kabisa.Nataka ufikirie kwa kina, tatizo la Tanzania si tatizo la kubadilisha chama bali ni tatizo la kimfumo uliyowekwa na wanaojiita waendesha dunia, mnaaminishwa demokrasia ndiyo italeta maendeleo, hizo ni ndoto. Ikiwa hao wakubwa watataka waafrika waendelee basi inawezekana hivyo, lakini hawapo tayari kwa hilo.
Sasa mbadala wao ni nani?Naelewa yote hayo ndugu ila kuendelea na haya mambogamboga ni hapana kabisa.
LISSU ATOSHA!Sasa mbadala wao ni nani?
Lissu ni mwanasheria mzuri sana lakini hawezi kuwa raisi wa nchi kwa kukosa hekima, cheo kikubwa ambacho anaweza kuwa nacho ni mwanasheria mkuu.LISSU ATOSHA!