RASIMU ya Katiba Mpya Tanzania yazinduliwa

Madaraka ya rais yapunguzwe, hasa uteuzi wa mawaziri,naibu mawaziri na jaji mkuu lazima Bunge liwathibitishe, kwa vyombovya usalama lazima ashauriwe na baraza la ulinzi na usalama la taifa. Kwa vyombo vya umma ashauriwena tume ya utumishi wa umma , ila katibu mkuu kiongozi athibitishwe na Bunge
 
Kila jimbo la uchaguzi liwe linatoa wabunge aina mbili mwanaume na mwanamke .....what is this?

Ukomo wa mtu kuwa mbunge ni vipindi 3
 
Mapendekezo ya wabunge:
Kuwe na makundi mawili:
1. Wa kuchaguliwa jimboni (mmoja mwanamke mwingine mwanamke)

2.Wa kuteuliwa na rais (walemavu)

3.Hakuna viti maalumu

4.Ukomo wa ubunge awamu tatu

5.Hakuna uchaguzi mdogo. nafasi itajazwa na chama kile kile

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
sipka na naibu sipika wasitokane na vyama vya siasa na wasiwe wabunge.
 
-Wabunge wa kuteuliwa wawe walemavu tu
-Kila jimbo liwe na mbunge wa kike na wa kiume
0Kusiwe na uchaguzi mdogo, mbunge akifa chama kilichonsinda kipendekeze mbunge
-Spika na naibu wasiwe wabunge wala wanasiasa
-Bunge liwe huru
-Bunge lisiwe katika kazi za kitendaji
-Ukomo wa ubunge vipindi vitatu
-Wananchi waruhusiwe kumuondoa mbunge wakati wowote wakitaka

...............

-Tume ya uchaguzi iitwe tume huru ya uchaguzi
-Tume iunganishwe na msajili wa vyama
-Wajumbe wa tume wawe na sifa zilizoanishwa katika katiba
-Wajumbe waombe nafasi
-Tume ya kuchambua maombi - Jaji mkuu, majaji, maspika,
-Baada ya majina kuteuliwa, yapelekwe kwa raisi, naye aidhinishe mwenyekiti, katibu na wajumbe 6
-Majina yapelekwe na yaidhinishwe na bunge
-Viongozi wa kisiasa na wa asasi za kiserikali wasiwe wajumbe...

*Kuwe na mahakama ya juu (supreme court)

Muungano
Serikali tatu - serikali ya shirikisho, Tanzania bara, na Zanzibar...
 
Tume ya uchaguzi , majkumu yawe ni pamoja na ya msajili wa vyama vya siasa, no more Tendwa,
wajumbe wa tume sifa kuteuliwa ktk tume ziwekwe kwenye katiba nani mwenye sifa
 
Back
Top Bottom