Mtumbatu
JF-Expert Member
- Apr 27, 2012
- 362
- 170
86.-(1) Kutakuwa na Makamu wa Rais ambaye atakuwa ndiye Msaidizi Mkuu wa Rais kuhusu mambo yote ya Jamhuri ya Muungano kwa jumla
Hakuna haja ya kuwa na makamu wa rais ni kuongeza gharama tu na kushabikia siasa, kama Rais wa Jamuhuri ya Muungano atatoka Tanzania Bara makamu wa Rais atakuwa Rais wa Zanzibar, na kama Rais wa Jamhuri atatoka Zanzibar makamu wa Rais atakuwa Rais wa Tanzania Bara. Hata kama wanatoka vyama tofauti inawezekana tukiweka siasa pembeni, na hili ndilo lililofanyika Zanzibar, Rais na makamu wa rais wanatoka vyama tofauti.